Sijawahi kukuona huku....Kwani vipi mbona fujo nyingi hapa?
Wana Arsenal tuko hapa nyie endeleeni kujifariji.
ogopa ukisikia mtangazaji anasema 'messi is going to work now.......' yaani hapo messi kaona mambo hayaendi sasa anaamua kukusanya kijiji............
Mimi ni wa huku long time sana,sema siku hizi nimepotea tu.Sijawahi kukuona huku....
Mimi humu huwa natania na kutupa mawe Kwa watani zangu nawaita ArsayNO The Mandaz...Nawatakia best wishes ila mkifungwa lazima NIKINUKISHE km kawa hapaMimi ni wa huku long time sana,sema siku hizi nimepotea tu.
Nilikuwa na kaka zangu kina utafiti BAK na shostie Honey Faith baada ya wao kupotea nimekosa nguvu ya kuja huku.
Ina mimi ni mwana Arsenal damu kabisa hata popoma GENTAMYCINE anajua.
Samahani mashabiki wa Arsenal, hivi mpaka sasa moyoni mnajiskiaje juu ya hii Game?
Watu leo wanajikataa tuuMimi ni shabiki wa kutupwa wa Mansheeder Ubwegeted + Kandambili za Jangwani
I'm Sorry !!!
Hii Thread mbona imekuwa tamu ghafla wakuu?
Km huamini nenda Jukwaa LA Man. Utd pitiapitia post uoneWatu leo wanajikataa tuu