Ahahahahahahahahahaha Arsenal beki zetu mbovu sana, hivi kuingiza wachezaji 14 uwanjani haiwezekaniki?Mkuu usiogope nimeshaongea na mabeki wa barca...so results itakua ivi arsenal 7-1 Barca
Ahahahahahahahahahaha Arsenal beki zetu mbovu sana, hivi kuingiza wachezaji 14 uwanjani haiwezekaniki?Mkuu usiogope nimeshaongea na mabeki wa barca...so results itakua ivi arsenal 7-1 Barca
Arsenal will win the match 2-1 unabisha endelea tu...
ha ha ha ha ha mimi napenda za skysports tu hamna maneno mengi kwasababu unaona kinachoendele wewe utasikia tuRaha ya mechi ya leo, ni kuangalizia kwenye channel ya Kiarabu....
Utasikia......
Messiii walaaaaahi yaaa ilahiiii Meeeeesi....thuma alaa Neymar fil balaaa duniya ..Barcelona ala espania khamsa , wa arsenal fil engliz sufur..Thalatha ahdaaf min Lionel messi
Wahid baina yadain....
Ahahahahahahahahahahaha mm napenda zile chopin za Messi mkuu.ha ha ha ha ha mimi napenda za skysports tu hamna maneno mengi kwasababu unaona kinachoendele wewe utasikia tu
'messi neymar messi again suarez iniesta lovely control and turn, busquet messi iniestsa messi back to iniesta lovely one two being played here...................
Ahahahahahahahahahaha Arsenal beki zetu mbovu sana, hivi kuingiza wachezaji 14 uwanjani haiwezekaniki?
Ahahahahahahahahahahaha hatariiiiiii!!!Its Possible...ila wasizidi zaidi ya 20,
ogopa ukisikia mtangazaji anasema 'messi is going to work now.......' yaani hapo messi kaona mambo hayaendi sasa anaamua kukusanya kijiji............Ahahahahahahahahahahaha mm napenda zile chopin za Messi mkuu.
Ahahahahahahahahahahaha!!!!ogopa ukisikia mtangazaji anasema 'messi is going to work now.......' yaani hapo messi kaona mambo hayaendi sasa anaamua kukusanya kijiji............
Neno moja kwa Arsenal kaka!
hakuna raha kwenye soka kama kuangalia barcelona ikicheza na timu isiokuhusu........Hii Thread mbona imekuwa tamu ghafla wakuu?
Raha ya mechi ya leo, ni kuangalizia kwenye channel ya Kiarabu....Neno moja kwa Arsenal kaka!
Ni fans wa Arsenal?