PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
ARSENAL AKIAMBULIA JAPO SARE SISHABIKII TENA SOKA NA SITOTUMIA WASAP TENA EE MUNGU NISAIDIENeno moja kwa Arsenal kaka!
ARSENAL AKIAMBULIA JAPO SARE SISHABIKII TENA SOKA NA SITOTUMIA WASAP TENA EE MUNGU NISAIDIENeno moja kwa Arsenal kaka!
Suareza alisahau passport jamaa walivyo na roho mbata wakamkimbizia airport!!!! Si wangemuacha tu jamani kwani Messi na Neymar hawatoshi?
Ahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha!!!!ARSENAL AKIAMBULIA JAPO SARE SISHABIKII TENA SOKA NA SITOTUMIA WASAP TENA EE MUNGU NISAIDIE
huyo ni shabk wa arsebakwaNi fans wa Arsenal?
ogopa ukisikia mtangazaji anasema 'messi is going to work now.......' yaani hapo messi kaona mambo hayaendi sasa anaamua kukusanya kijiji............
Raha ya mechi ya leo, ni kuangalizia kwenye channel ya Kiarabu....
Utasikia......
Messiii walaaaaahi yaaa ilahiiii Meeeeesi....thuma alaa Neymar fil balaaa duniya ..Barcelona ala espania khamsa , wa arsenal fil engliz sufur..Thalatha ahdaaf min Lionel messi
Wahid baina yadain...
Mkuu, tuma video leo ni sikukuuu😀😀😀😀 Mkuu umeipatia aise, ngoja kuna video ivi nilitumiwa, kijana wa kisenegal kamuiga kuongea aise kampatia
Ahahahahahahaahahahahaha Mkuu umeua, hawa watu sijui kwenye ubongo wameweka nini aiseee.hivi inakuwaje had mtu na ubongo wako unashabikia aseno
tena ubongo wa wacha 1 utakuwa umejaa pilauAhahahahahahaahahahahaha Mkuu umeua, hawa watu sijui kwenye ubongo wameweka nini aiseee.
Yupo wapi huyo kiumbe?tena ubongo wa wacha 1 utakuwa umejaa pilau
yupo lumumba mda huuYupo wapi huyo kiumbe?
Mkuu, tuma video leo ni sikukuuu
...tena ubongo wa wacha 1 utakuwa umejaa pilau
Hakuna kitu kama hicho wewe. Arsenal tunashinda kama kawaida