Aisee, Leicester wataumia sana kufungwa hivi, ni afadhali wangefungwa dakika za kawaida kuliko moja ya mwisho
Ila tuwe wakweli, leicester means business, waliweka ukuta mmoja wa Berlin, wako organised sana!2 points behind na Leicester wapo shattered.
Arsenal wameshambulia sana wasingeweza kutofunga goli.
COYGs!!
Ila tuwe wakweli, leicester means business, waliweka ukuta mmoja wa Berlin, wako organised sana!
Dah, hizi mechi tutatoana roho kwa wasiwasi!
Sasa spurs na mancity wadroo tu, siku yangu itakuwa nzuri zaidi.
Arsenal walishambulia sana, ni kwamba walikuwa hawashoot on target, labda walistahili droo sababu ya kuwa resolute.Tena Leicester wali deserve a draw
Tehe! Tehe! Tehe!! Pole Mkuu, Gunners Isn't Man City!!!Acha lesester wafungwe wameharibu mkeka wangu
Mpwa ivi wale watabiri mbona hawaji uku kwetu maana walihesabu sana siku kua tunakufa leo naomba waalikwe kwenye harusi hii waambiwe tumeshamuoa shoga yao waje wacheze singeri hapa kibaraza cha Emirates2 points behind na Leicester wapo shattered.
Arsenal wameshambulia sana wasingeweza kutofunga goli.
COYGs!!
Manchester united utatulia weekend ijayoTumemaliza Shughuli, Points Muhimu Na Tunapunguza Pengo La Points Toka 5 Hadi 2 Tu!!!
kitendo cha kushangilia lile tuta kingepelekea kunyimwa unyumba leo...ulifanya vyema sana mkuu, ila naomba niulize kidogo; unajisikiaje sahivi?everlenk ule msiba umeenda wapi mbona huku London hauko???! Khe khe....
Mi nafurahi wifi yako kafurahi...wikiendi itaisha vyema maana ile penati mpaka nkashindwa kushangilia.
kitendo cha kushangilia lile tuta kingepelekea kunyimwa unyumba leo...ulifanya vyema sana mkuu, ila naomba niulize kidogo; unajisikiaje sahivi?
happy valentine's day mkuu, leo utapewa zaidi ya ulivyozoea coz kw huu ushind libido lazima iwe juu usiku wa leo tenhe tenhe tenheKama mpenzi wa Chelsea nimekasirika kinomaaaaaaa...
Kama mpenzi wa football am neutral...they both deserved the results they got.
Kama family man nimefurahi maana mabusu na makumbatio yamekuwa mengiii...tunaelekea nyumbani sasa. ;-)
Hata mie wangu angekuwa karibu tungeshiriki uumbaji!!!(^_^)(^_^)happy valentine's day mkuu, leo utapewa zaidi ya ulivyozoea coz kw huu ushind libido lazima iwe juu usiku wa leo tenhe tenhe tenhe