Richard
Platinum Member
- Oct 23, 2006
- 16,636
- 25,617
Gap kubwa sana hii ya magoli, inabidi kupunguza kwa mechi hii
Kabisa, maana ianyoonekana mechi ijayo na Leicester ndio itaonesha muonekano wa nani atakuwa bingwa. Tottenham watacheza na Man City.
Mpira ni mapumziko sasa.
Bournemouth 0 Arsenal 2