Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika ya 90 na zimeongezwa dakika 3 na Arsenal wanaonekana watatumia kumuingiza Theo Walcott.
 
Dakika ya 93 inaelekea kwisha na Theo Walcott anaingia badala ya Olivier Giroud na mpira unakwisha muda si mrefu.
 
Gibbs kwa Ozil nae anampa Ramsey wanagonga hapa na pale

Mwamuzi anapuliza filimbi na mpira umekwisha.

Arsenal 2 Bournemouth 0

Arsenal wanafungana points na Tottenham 48 na kuzidiwa magoli
 
the-ox_3569665b.jpg


Arsenal leo wamepata 3 points muhimu na kuweka hai matumaini ya kunyakua kombe la EPL

Hawakucheza sana wala kwa kutumia nguvu nyingi kwenye mchezo huo lakini walionekana dhahiri wanaangalia mechi ijayo kati yake na Leicester jumapili ijayo.

Wakuu, basi tukutane hapa jumapili saa 6 za mchana kwa saa za Ulaya au saa 9 alasiri kwa saa za Tanzania.
 
FT 2-0 another clean sheet Alhamdullilah tunajisogeza thanks lads kwa pointi 3 muhimu tunarudi gheto kumsubiri uyo anaewasumbua.
 
the-ox_3569665b.jpg


Arsenal leo wamepata 3 points muhimu na kuweka hai matumaini ya kunyakua kombe la EPL

Hawakucheza sana wala kwa kutumia nguvu nyingi kwenye mchezo huo lakini walionekana dhahiri wanaangalia mechi ijayo kati yake na Leicester jumapili ijayo.

Wakuu, basi tukutane hapa jumapili saa 6 za mchana kwa saa za Ulaya au saa 9 alasiri kwa saa za Tanzania.
Pamoja Sana mkuu
 
we've got ozil, mesut ozil....we just don't think u understand, he's arsene wenger's man, he is better than zidane....we have got mesut ozil
 
Messi alimuambia Suarez......

.Messi: Unajua Suarez Leo lazima unipe assist nyingi.....

.Suarez: kwanini Messi???

Messi: Mwanangu anataka ⚽ mpya nimemuahidi nikirudi nampa wa mechi hii ya valencia.

Suarez: Daaahh nami nimemuahidi mwanangu kuwa leo lazima nimpelekee ⚽ mpya sasa tunafanyaje???

Neymar: OK, Msijali Mimi nitawapa assist wote wawili na kila mmoja atampelekea mwanae ⚽.
Arda turan: Nami nitamsaidia neymar msijali.

Baada ya gemu
Wote:

Messi: bado nani mwanae anataka mpira?

Neymar: Mimi mwanangu anautaka ⚽ wa mechi ya Arsenal.
Timu nzima: Na sisi pia watoto wetu wanataka ⚽⚽⚽

Iniesta: sasa nawe kipa unautaka tena utawezaje kupiga Hattrick???

MSN: msijali kila mmoja siku hiyo ataondoka na ⚽ wake
Kocha: Ma mimi pia nautaka.
 
Leicester got relegated,
.
.
.
promoted,
.
.
.
survived and
.
.
.
are about to win the PL.
.
.
.
Arsenal fans are still using the "Emirates Stadium" as an excuse to protect Wenger for their PL drought!!!
 
Heeee mentali ndo tunachukua kombe mwaka huu you're so low kupigia upatu championship team. Ni wale lgv au wapigania kutokushuka daraja
 
Tupo jumapili tunafanya yetu ni nafasi ya pili kwa points 2
Jina : ArsayNO The Mandaz
Kipa : Pita Ucheke
Beki : Paa Matakataka
Kiungo ; Maudhi Filamini
Winga :Cheo Wakotikoti
Striker : Miss Olivia Wa Jeladi
Kocha : Mr Bean Wengewenge

Kweli mkuu na ndoo EPL mtabeba
 
Back
Top Bottom