@..@# ngapi ww
It's match day tunakutana na Southampton bado tuna kumbukumbu mbaya na hawa jamaa last game tulipoteza 4-0 na katika game 5 tuliocheza nao recently tumeshinda game 1 tu ambayo Sanchez alitupa matokeo chanya.
Referee wa leo ni Lee Stephen Mason na mtanange utapigwa ghetto kwetu pale Emirates naamini leo ni siku ya ku-revenge ili turudi kwenye track ya kuikimbilia ndoo.
God bless Arsenal COYG.
Babu always disappoints when we need good results. Nazikumbuka sana point 2 tulizopoteza kwa Liva, tatu za kizembe kwa kuzabwa na Soton na Tatu za kizembe tunwazawadia wafa maji Chelsicky.Hii mechi inatuhusu sana hatuwezi kuziacha mbio za ubingwa kizembezembe nilazima tuwale hawa Soton.
Yani inabidi tufanye kitu leo ,nikufa au kupona.Babu always disappoints when we need good results. Nazikumbuka sana point 2 tulizopoteza kwa Liva, tatu za kizembe kwa kuzabwa na Soton na Tatu za kizembe tunwazawadia wafa maji Chelsicky.
Am scared we can repeat the same mistake and drop some f***ckn point tonight. Babu is speedly loosing all of his good magic he used to have on those great hay day.
Always natamani iwe hivyo ila babu anaishia kuniumiza tu.Yani inabidi tufanye kitu leo ,nikufa au kupona.
Babu hapo tu ndipo anaponikera.Wenger ondosha flamin muweke Coquelin nafasi yake
kiufupi kuna wakati wenger nakua simuelewi, sijui hajifunzi na makosa, hivi karibuni tulifungwa 4 na flamin alipotea, leo amemuanzisha tena yule yule flamin. Tumetawaliwa sana katiBabu hapo tu ndipo anaponikera.
Tupa Flamini Nnje tupa Ramsey winga ya Kulia na Kati weka Elneny na Coq tuwamiliki maungoni hawa jamaa. Tukiwakosa mitaa ya kati watatuadhibu kama last game.
Billionea Flamin.kiufupi kuna wakati wenger nakua simuelewi, sijui hajifunzi na makosa, hivi karibuni tulifungwa 4 na flamin alipotea, leo amemuanzisha tena yule yule flamin. Tumetawaliwa sana kati