Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Bendtner sasa toa nje bana - nafasi sasa apewe mara ngapi nafasi kama hizi?
 
Duh leo ni ajabu kuona Wenger anamtoa Bend, sijui kwa nini Wenger anampenda sana huyu jamaa na huwa anapenda kumchezesha dk 90
 
Eduardo anambadilisha sasa, lakini pengine ndio vizuri ili Jumanne wawe more solid kwenye mechi ya Porto.
 
Hatimaye katoka sasa ingawa Eduardo hayupo ktk ile move ya enzi
 
Hawa vijana bwana wapige goli la tatu bana watu presha itue hapa
 
yani huyu ben katufanya tukae roho juu mpaka saa hizi kusubiri kipenga cha mwisho wakati game ilikuwa aimalize zamani sana.
 
_47425332_fabregas466ap.jpg



Fabregas akishangilia goli lake
 
_47425613_walcott766pa.jpg


Ten minutes later and Arsenal go back in front. Looking to book a place in Fabio Capello's World Cup squad, Theo Walcott curls a delightful left-foot shot inside the far post to beat Jensen
 
Niklas Bendtner 😱😱🙁😕
Nafasi 6 za wazi!!! Sijawahi kuona hii.
 
Back
Top Bottom