Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ooo Yeah .. .... si uliona hata alipotoka kijana mdogo bado alikuwa ana-enjoy .... ..... .... ametoka kwenye majeruhi kwa hiyo bado hajawa sharp ni sawa na wachezaji wengine si uliona vitu vya Theo ... ... ....Usisahau hata Eduardo bado hajarudisha sharpness yake yaani mwaka huu tungekuwa tumeshawatimulia vumbi long time.

Theo_Walcott_280x39_999966a.jpg

Theo ... ... answer

Dogo alicheza vizuri sana juzi huyu,hope atacheza vizuri pia game na Porto
 
Inabidi afanye kazi ya ziada kwani Fab ndo majeruhi na Bend ndo hivyo tena yeye na goli lakini anakosa.

Fabregas out of Champions League clash

0803_cfabregas_g_527383t.jpg

Cesc Fabregas has been ruled out of tomorrow's Champions League clash with Porto because of a hamstring problem Photo: Getty Images

Gunners boss Arsene Wenger said: "We cannot even take a gamble, so he is not available."

Veteran defender Sol Campbell did, however, join in training and he looks set to recover from a groin problem in time to face the Portuguese side, who will take a 2-1 lead to the Emirates Stadium for the second leg of the last-16 tie.
 
Wenger : Let's make history ... ....

wenger_682x400_1001132a.jpg

FOUND A KEEPER? ... Wenger in training for the Porto clash

gun__1259138628_Nasri-Goal.jpg

Nasri to play a pivotal role ... ...
 
tonite's tie😛otential banana skin
all the best gunners
 
yes gunners, kibarua mnacho kigumu sana leo - ila tugemee mpira safi maana wote wanacheka kasi na pasi fupi fupi - nawatakia mafanikio

Siku mtatuhakikishia dunia nzima kwamba " Money is not football" or Vise versa
basi kweli wenger nitamkubali rasmi kwamba ni kiongozi.
 
Yaah leo ni leo hawa Porto ni cha mtoto tunawatoa kamasi leo Arsenal 2-0 Porto.Next Bayern Munich au timu mojawapo ya Spain.
 
Hawa Porto tunawalamba 3-1 who is next Man or barcelona we don't care ni kichapo tu

I like this.
But heee!... Man u kesho wanatoka wala usiwafkirie kabisa. Mark ma words guys.
Aftarol hatutakikukutana na timu za uingereza. Tunataka timu outside uingereza.
 
Gallas facing huge pay cut to remain at Arsenal

Tuesday March 09 2010
ARSENAL are planning to tell William Gallas that he must take a huge pay cut if he wishes to stay at the club after his contract expires in the summer.
The France defender's representatives are due to meet Arsene Wenger this week to renew negotiations over a contract extension after talks reached an impasse in January over the length of the new deal.

Arsenal's club policy is to give only one-year contracts to players aged over 30, an offer Gallas has rejected out of hand because he is seeking a two-year deal.

In this week's meeting Wenger will propose a compromise whereby Gallas would receive a two-year contract for the value of the one-year deal already on the table, effectively meaning his £80,000 wages would be halved to £40,000 a week.

In addition, the 32-year-old would also receive a £500,000 bonus if he stays at the club until the second year of the new contract, to be triggered at the start of the 2011-12 season.

It is unclear whether Gallas will be willing to accept such revised terms, but it is likely to be the best offer he will receive from Arsenal, who are determined to keep their wage bill under control.

Gallas may prefer to take his chances elsewhere because he has attracted interest from Roma, Marseilles and Paris Saint-Germain, even though none of them are likely to improve on Arsenal's offer.

Wenger's attitude towards ageing players was perhaps vindicated yesterday when Gallas broke down in training with a recurrence of a calf injury. "He felt very well yesterday and went out training, but he has gone backwards again," Wenger said.

"We don't know how long it will be, but for Hull on Saturday he has no chance." (© The Times, London)
 
Hawa Porto tunawalamba 3-1 who is next Man or barcelona we don't care ni kichapo tu

barcelona hao ni wa kisasi cha fainali, kisasi cha man kwanza ila nahisi mashetani hawa watatolewa na madrid if not milan!
 
Chondechonde shemeji na jirani zetu wa KENYA. Watchini hii gemu ya leo ktk groups. Kama tukipoteza bahati mbaya Mkimaliza kuangalia mechi sindikizaneni makwenu na mpeane moyo kua bado tuna chance nyingine ya kutwaa PL.

Nasema hivi coz hatutaki ku-potoza washabiki wa Arsenal kwa kujinyonga kwa kamba za mbuzi mazee.

RIP to a kenyan Arsnl fan who did hang himself a year ago after Arsnl were knocked out of CL.

Goteni basi.
 
kusema kweli mechi ya leo tuombe tu wachezaji wengine wa step up,bila fabregas pale creativity inakuwaga ndogo sana.

hatuwezi kupoteza nafasi yoyote ya wazi leo kama tulivyofanya against burnley.zaidi ya hapo mcheza kwao utunzwa.
 
Gallas facing huge pay cut to remain at Arsenal

Tuesday March 09 2010
ARSENAL are planning to tell William Gallas that he must take a huge pay cut if he wishes to stay at the club after his contract expires in the summer.
The France defender's representatives are due to meet Arsene Wenger this week to renew negotiations over a contract extension after talks reached an impasse in January over the length of the new deal.

Arsenal's club policy is to give only one-year contracts to players aged over 30, an offer Gallas has rejected out of hand because he is seeking a two-year deal.

In this week's meeting Wenger will propose a compromise whereby Gallas would receive a two-year contract for the value of the one-year deal already on the table, effectively meaning his £80,000 wages would be halved to £40,000 a week.

In addition, the 32-year-old would also receive a £500,000 bonus if he stays at the club until the second year of the new contract, to be triggered at the start of the 2011-12 season.

It is unclear whether Gallas will be willing to accept such revised terms, but it is likely to be the best offer he will receive from Arsenal, who are determined to keep their wage bill under control.

Gallas may prefer to take his chances elsewhere because he has attracted interest from Roma, Marseilles and Paris Saint-Germain, even though none of them are likely to improve on Arsenal's offer.

Wenger's attitude towards ageing players was perhaps vindicated yesterday when Gallas broke down in training with a recurrence of a calf injury. "He felt very well yesterday and went out training, but he has gone backwards again," Wenger said.

"We don't know how long it will be, but for Hull on Saturday he has no chance." (© The Times, London)
hii naona ndio bye bye gallas.nadhani mda umefika pia and i hope wenger ataleta top class defender kuziba nafasi hio.
 
Yupo Sol Campbell! Hakuna haja ya kununua mwingine, Silvester pia anaweza kuchukua mkoba
 
Mkuu ni kweli hawa wapo na ni wazoefu ila wanahitaji kijana mdogo ili wamfundishe kazi ili wakati wao wa kuondoka ukifika basi awepo kijana ambaye keshapata uzoefu kutoka kwao.
 
Chondechonde shemeji na jirani zetu wa KENYA. Watchini hii gemu ya leo ktk groups. Kama tukipoteza bahati mbaya Mkimaliza kuangalia mechi sindikizaneni makwenu na mpeane moyo kua bado tuna chance nyingine ya kutwaa PL.

Nasema hivi coz hatutaki ku-potoza washabiki wa Arsenal kwa kujinyonga kwa kamba za mbuzi mazee.

RIP to a kenyan Arsnl fan who did hang himself a year ago after Arsnl were knocked out of CL.

Goteni basi.
Naomba yasitokee haya huyu Bwana Suleiman Omondi yaonekana alikuwa Arsenal damu.R.I.P
 
Mkuu ni kweli hawa wapo na ni wazoefu ila wanahitaji kijana mdogo ili wamfundishe kazi ili wakati wao wa kuondoka ukifika basi awepo kijana ambaye keshapata uzoefu kutoka kwao.

Masanilo anakuyeyusha hapo, hiyo aliyofanya hapo juu ni sarcasm (kebehi?)!
 
Yupo Sol Campbell! Hakuna haja ya kununua mwingine, Silvester pia anaweza kuchukua mkoba

Kikojozi umerudi! Khe khe vipi matanga yameisha? Namna gani mambo mswano? Vipi umetembelea jukwaani kwenu? Enjoy the game today you've arrived at the Emirates stadium where soka is taught sio mambo ya Darajani kazi kununua marefa na kutumia mpunga.

Karibu sana ingawaje umeibukia hapa leo kwenye ngoma ... ....
 
Back
Top Bottom