Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

4th round Arsenal vs Burnley, hii itakuwa mechi ngumu kuliko iliyotangulia.
 
gun__1438882429_ozil-1.jpg

Mesut atakuwepo kesho ... .. COYG

zp_599311121_SM_6831_DC74319AC6EFC8810A13C1E781EBEFAC_9449.jpg

OG

zp_599311121_SM_6922_B05743C089961EB873158A12ACB69119_8298.jpg

Rosicky na Arteta

zp_599311121_SM_7001_54FC33F0492C4358E571D438313629E5_824.jpg

zp_599311121_SM_7127_2EB0A57EB8241638A6667ED48DE340D0_7664.jpg

zp_599311121_SM_7068_0D04BC1A95374C31EFC5772F4B513677_2988.jpg

All aboard .... ... .

zp_599311121_SM_7001_54FC33F0492C4358E571D438313629E5_824.jpg

zp_599311121_SM_6558_621A8B6C23751B291931EA1349D6E9BA_7583.jpg

Le Prof kama kawa .. ... mambo ya Colney hayo Ding ... dong.
 
Baada ya kuwacheka Man Utd turudi kuganga mechi ya kesho. Tusijidanganye pamoja na Liverpool kuwa na majeruhi wengi kuliko sisi lakini bado wanaweza kutuharibia siku kama vijana wasipokuwa makini kesho... Tunatakiwa tuwagonge na kuomba Man City na Spurs wapoteze points kesho.
 
Bale + Benzema + Cristiano = BBC

Messi + Suarez + Neymar = MSN

Costa + Oscar + Willian = COW

Theo + Alexis + Koscienly + Ozil =?
 
MkoPoKa soma hapa

WHY ARSENAL HAS TAKEN 11 WITHOUT EPL TROPHY

Arsenal Legend and Former Invicible KOLO TOURE has expain today

"I am not inside any more but there has been a lot of change. A lot of players left the club, guys like Patrick Vieira, leaders left the club and it was quite difficult, but this policy started when they started the new stadium," the Liverpool defender said.

"Everything changed. They needed to sell some players, cut the wage bill and that is all about it.

"I think they lost so many experienced players. Patrick Vieira was a leader, Robert Pires was a top player, Thierry Henry left and sometimes you need experience at the club and then a young player can learn, that is one of the things."

Source : Goal.com

Belo unakuwaga mbishi sana juu ya hili
 
Hiyo sababu inaweza ikachangia labda 10% na sio kubwa jinsi mnavyoikuza,msimu huu timu inafanya vizuri still AW anasaijili wachezaji wa £10m.Kuna sababu nyingine ziko wazi kabisa why Arsenal wanafanya vizuri kwa sasa
 
Vile wapinzani wete wa karibu hawafanyi vyema.

Ukiangalia msimu ambao arsenal tulifanya vyema na tukaishiwa pumzi ni msimu Eduardo anavunjika. Huu siwezi kuusifia maana wapinzani wamechoka na sisi tunaafadhali kwa kumaintain standard yetu ya miaka 10 iliyopita.
 
MkoPoKa soma hapa

WHY ARSENAL HAS TAKEN 11 WITHOUT EPL TROPHY

Arsenal Legend and Former Invicible KOLO TOURE has expain today

"I am not inside any more but there has been a lot of change. A lot of players left the club, guys like Patrick Vieira, leaders left the club and it was quite difficult, but this policy started when they started the new stadium," the Liverpool defender said.

"Everything changed. They needed to sell some players, cut the wage bill and that is all about it.

"I think they lost so many experienced players. Patrick Vieira was a leader, Robert Pires was a top player, Thierry Henry left and sometimes you need experience at the club and then a young player can learn, that is one of the things."

Source : Goal.com

Belo unakuwaga mbishi sana juu ya hili

Asante Kashengo

Ila hakuna jipya kwenye hilo.
 
Hiyo sababu inaweza ikachangia labda 10% na sio kubwa jinsi mnavyoikuza,msimu huu timu inafanya vizuri still AW anasaijili wachezaji wa £10m.Kuna sababu nyingine ziko wazi kabisa why Arsenal wanafanya vizuri kwa sasa

10% you are not serious sababu kubwa ya transition ni aliyosema KOLO ukibisha na hapo huo ubishi wa asili....au unabisha makusudi na unabishana mpaka na players ambao wamepitia phases za Kuwa kuwa na kikosi bora na kikosi cha kuunga unga

we jaribu kupoteza, au kuuza Top perfomers wako kila SUMMER afu uone utachukua ubingwa upi.....labda wa Kuota

kununua mchezaji wa £10mil sio kigezo kuwa hafai ni maamuzi ya Manager sio mtu wa kuspend...Price Tags haichezi soka mifano ni mingi sana

by the way at least sasa tunaweza Hold kwa akina Sanchez, ozil, kos,cech bila wasi wasi wa kuja watu kutulazimisha kuuza...
 
Last edited:
10% you are not serious....au unabisha makusudi

we jaribu kupoteza, au kuuza Top perfomers wako kila SUMMER afu uone utachukua ubingwa upi.....
Hebu leta mchanganuo kujenga uwanja umechukua % ngapi.Hii misimu 3/4 Arsenal haikuwa na wachezaji wengi ambao wangeweza kuuzika kama enzi zile kina Nasri,RVP,Clichy,Cole (Ukiondoa hawa walionunuliwa Sanchez & Ozil ni Kosciencly pekee timu kubwa zingeweza kuja kumchukua).Ulishasikia kuna timu inataka kuwasajili Per,Monreal,Debuchy,Gibbs,Theo,Giroud,Ramsey,AOX,Campbell,Carzola,Wilshere

Subiri baada ya miaka 2 kama Coq & Bellerin wakiendelea kucheza hivi uone kama hawataondoka
 
At least now unapata picha kilichotukumba....

Mwaka huu tunaweza beba ndoo....

lets win this Game at anfield, then stoke away

Lets win epl kwa kuanza na hii match ya usiku leo.

Mimi sio muumini mzuri wa siasa za transition, kwa aina ya mpira tunaocheza pamoja na aina ya wachezaji ambao walikuwa wanagraduate kwetu hata kama tuliwauza bado sio sababu ya kukosa ubingwa.

Na pesa nyingi sio sababu ya moja kwa moja ya kuchukua ubingwa,

Angalia budget ya Liva kwa miaka 10 iliyopita kwenye usajili na mishahara ya wachezaji wao, hapo unaweza kuielewa point yangu ya msingi ambayo nimekuwa nikiishikilia daima.

Vinginevyo am happy kukubaliana na mtu kutokukubaliana juu ya mitazamo yetu as long as haiharibu mahusiano yetu juu ya kile ambacho tunakipenda wote.
 
Hebu leta mchanganuo kujenga uwanja umechukua % ngapi.Hii misimu 3/4 Arsenal haikuwa na wachezaji wengi ambao wangeweza kuuzika kama enzi zile kina Nasri,RVP,Clichy,Cole (Ukiondoa hawa walionunuliwa Sanchez & Ozil ni Kosciencly pekee timu kubwa zingeweza kuja kumchukua).Ulishasikia kuna timu inataka kuwasajili Per,Monreal,Debuchy,Gibbs,Theo,Giroud,Ramsey,AOX,Campbell,Carzola,Wilshere

Subiri baada ya miaka 2 kama Coq & Bellerin wakiendelea kucheza hivi uone kama hawataondoka

We nikuache.....umejiandaa kubishana
 
Back
Top Bottom