Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kabla ya Aubameyang kutua Dortmund, Wenger aliwahi kumfukuzia kinafki km anavyofanyaga ila akapita kushoto leo hana budi kula matapishi yake kwakuwa now hela IPO....!

Fahamu kuwa Usajili ni kama Kamari (gamble) hakuna aliyejua Pierre aliyekuwa Saint Ettiene angekuja kuwa Huyu aliyekuwa sasa BVB msimu uliopita alikuwa mchezaji wa kawaida wakati huo Striker wa BVB akiwa Cirro Immobile

ni ngumu sana Kutabiri kiwango cha mtu baadae hata kama ana kipaji...

mfano tuna vipaji kama Oxlade Chamberlain ila kipaji hakikui, kuna msululu wa Vipaji lakini vingine vinaishia Kuwa Stagnant hakipandi kabisa....ndo maana mchezaji anaweza kufuatiliwa na Scouts hata misimu 3 kuona kama anadevelop
 
Kuna watu hawamfahamu Wenger vizuri,yani atoe £ 60m kwa mchezaji mmoja Sidhani kama AW anaweza fanya hata kama atapewa hela
 
Tatizo sio kutoa hizo pesa.. Tatizo ni kipindi hiki (January) ni vigumu timu kuuza wachezaji wazuri na kutegemewa kama huyu Mgabon ukizingatia Dortmund wapo nafasi ya 2 Bundesliga. Vile vile wachezaji wanaonunuliwaga mwezi huu ni wale wa kuziba mapungufu sio kubadilisha formation ya uchezaji wa timu.
 
...tunashinda tatu hapo,tuta draw moja tu na stoke city.

Hii ndo Arsenal na Wapenzi wake.

Hata mm natamani matokeo mazuri ila team yetu inatuangusha sana tunapotarajia itutendee jambo.

COYG
 
kama hutojali napenda nikuulize ni nn hasa kilikuvutia kuwa mshabiki wa Arsenal....huenda labda ulivutiwa na jina linavyotamkika vizuri mkuu; sijawahi kuona positive side yako kwenye hii timu yani....kinachonshangaza zaidi we ni king'ang'anizi sehemu ambayo haikupi furaha
 
You are possibly arguing with a teenager...a mid 2000's arsenal Fan
 
The Beautiful side of our sex football.

Na kuwa negative kwa upupu wa team haimaanishi siipendi.

Kifupi for some years now Babu's intelligence is drying up.

Tunahitaji mawazo mbadala na sio kuendelea kumkumbatia babu, ameishiwa hana jipya.
 
dah!! nashindwa hata kukushangaa mkuu; hivi kweli wewe huoni gradual changes za falsafa ya timu kwenye siku za hivi karibuni....kama ni mfuatiliaji wa hii timu wa muda mrefu utakuwa unanielewa lakini ukweli ni kwamba timu ya 2011-2012 ni tofauti sana na timu ya msimu huu kiuchezaji, kimshahara, kiusajili, kiumri, kiuzoefu na kiushindani
 
You are possibly arguing with a teenager...a mid 2000's arsenal Fan

Usitake nacheka

Pengine naweza kuwa mkongwe kwenye ushabiki wa team pendwa na umri kama upo chini ya 40 uniombe msamaha kwa kuniita teenager
 
Hakuna Deal la Pierre aubemiyang lets cool down our Hopes inawezekana Huko summer na kumwaga £60mil kwa hii january sio jambo jepesi

Rabiot labda Summer haingii akilini kwa Wenger kuwasajili Midfielder wawili tena Especially RABIOT ambaye anakimbia BENCHI kule PSG anataka Kucheza ili aitwe France ikifika EURO 2016 na Arsenal hawezi kufika na Kucheza hii deal haipo....

Arsene Jana kasema Santi na Coq watarudi by mid February 2016, Coq kashaanza Kukimbia, santi anapata Nafuu haraka kuliko ilivyodhaniwa

So ni Elneny ambaye wenger kasema kama navyomnukuu hapa

The deal is complicated a little bit,” said Wenger. “We work hard on it, we hope in the next two to three days we get to the end of it.

He added: “The only [signing]? I don’t rule out anybody else. He [Elneny] will at least be one of the signings and comes into an area where we are short at the moment.”

Chanzo : Arsenal.com

kama kuna mwingine itafahamika mpaka dirisha likifungwa....
Hivi kwa nini Le Prof asimmulike Lacazette dirisha hili dogo? Yule striker wa Lyon? He's 24 na ni natural striker!
 
Unaweza kuwa na umri mkubwa...ila huelewi kinachoendelea within your Club...

nimekuelewesha sana nyuma huko bado unahitaji Darasa la ziada

narudia tena HUWEZI KUBEBA UBINGWA KAMA HUNA STABILITY maana yake nini , yaani unapoteza Key players wako wa kikosi cha kwanza kila msimu...msimu unaofuata unaanza upya

2005-2006 - Vieira aliuzwa, na Edu

2006-2007 - Ashley Cole aliuzwa, sol campbell akaondoka pia, Henry nae aliondoka mwisho wa huu msimu na Denis Berkamp Alistaafu soka, Robert PIRES na Fredie Ljungberg, Lauren Etame mayer

2007-2008 - (msimu bora kabisa kwa miaka ya karibuni) mwisho wa msimu aliuzwa HLEB, na FLAMINI alikimbilia AC MILAN, Gilberto silva aliuzwa Panathinakos na Jens LEHMAN, Lassana Diara.

2008-2009 - (moja katika misimu migumu kwa Arsenal Fans) tulirundika Vitoto vitupu havina Uzoefu wa kutosha Msimu ukawa mbaya sana

2009-2010 - adaebayor, Kolo toure, Philipe senderos waliuzwa

2010-2011 - William Gallas, Eduardo waliuzwa

2011-2012 - Clichy, Eboue, Fabregas, Nasri waliondoka

2012-2013 - RVP na Song, Carlos Vela, Almunia waliuzwa wote

Kwa Hii Stability ulitaka Ubingwa upatikane kwa style gani? bear in your mind Man utd walikuwa STABLE HATARI, CHELSEA USIULIZE, CITY wakamwaga PESA hapa Unahitaji Degree kuona kwanini TULIYUMBA SANA??

Narudia tena moja ya sababu ya Timu kufanya vizuri ni kuthibiti nyota wake wakae muda mrefu pamoja lakini Ukiuza uza HAKUNA MUUJIZA
 
Hivi kwa nini Le Prof asimmulike Lacazette dirisha hili dogo? Yule striker wa Lyon? He's 24 na ni natural striker!

dirisha dogo kupata mchezaji hasa mshambuliaji ni ngumu sana, labda umtoe timu ndogo inayoshindwa kuzuia wachezaji wao kutokana na pesa

katikati mwa msimu LYON wakimuuza Lacazette watamweka nani kama mbadala? unaona wazi deal la hivyo ni mpaka summer maana wanaweza kupata replacement, na wana malengo yao kuelekea msimu unavyomalizika wanaanzaje kumuuza nyota wao? kuna UGUMU KULIKO TUNAVYONYANI
 
Wakuu lecazzate msimu wa msimu huu sio yule wa msimu uliopita, labda kwa sababu hata timu yake ina struggle sana kwenye ligi lakini ameporomoka sana kiwango chake tofauti na msimu uliopita tulivokuwa linked nae sisi hata nyie, dirisha hili dogo anahusishwa sana kwenda Newcastle kwa £20 mill.

Sidhani kama mkimchukua huyu ataweza kuwasaidia kwenye mbio zenu za ubingwa. He is more than average
 
Na huo nao ukweli mwingine jamaa ni average sana safari hii.....one season wonder
 
Hawa Sunderland vip hawa wanataka kuniharibia siku kabisa. . Come on Arsenal tunataka ushindi
 
Back
Top Bottom