Kama kungekuwa na skauti wa Arsenal anachungulia humu ningemwomba amchukue Sammata au hata ampigie debe tu maana uwezo wa Mbwana ni Zaidi hata ya Campbell na kama muda unavyoenda huyu jamaa anakwenda kuwa class ya Henry na Etoo.Natamani nimuone na uzi wetu.
Arsenal walimuulizia kipindi fulani lakini katumbi aliwambia bei yake ni sawa na giroud, du!Kama kungekuwa na skauti wa Arsenal anachungulia humu ningemwomba amchukue Sammata au hata ampigie debe tu maana uwezo wa Mbwana ni Zaidi hata ya Campbell na kama muda unavyoenda huyu jamaa anakwenda kuwa class ya Henry na Etoo.Natamani nimuone na uzi wetu.
...akiwa mzuri atachukuliwa tu,provided anapata kibali toka sehemu husika,km inavyotokea kwa Elneny.Hahahahaa
Samatta mtamu ila ranking za taifa letu atachelewa sana kufika pale juu. Mara nyingi wachezaji wazuri kutoka nchi zetu hizi wanakuwa overlooked kwa sababu ya vigezo kama hivi hata kama talent ipo bado utabaguliwa tu.
Arsenal walimuulizia kipindi fulani lakini katumbi aliwambia bei yake ni sawa na giroud, du!
Hahahahaa

Aubemayang amezaliwa France na ameanzia soka kwenye academy ya AC MilanHivi Gabon mpaka wakamtoa Aubameyang ni rank au ni kiwango kizuri cha huyu Aubameyang!!! Kwangu huyu babu umri wake na ukabila wake vimetosha sasa akae pembeni awe mshauri tu wa ufundi,,ila kocha era yake ilishapita.
Hongereni mabingwa watetezi.....