Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani mimi ni mgeni kwenye huu uzi lakini naomba nitumie fursa hii kujitambulisha kuwa ni shabiki damudamu wa the Gunners hivyo naomba nitambulike rasmi kuanzia leo na kuendelea ASANTENI

Karibu
 
Welcome brother
 
Karibu sana Gooner...

Together We Stand!...
 
Jamani mimi ni mgeni kwenye huu uzi lakini naomba nitumie fursa hii kujitambulisha kuwa ni shabiki damudamu wa the Gunners hivyo naomba nitambulike rasmi kuanzia leo na kuendelea ASANTENI

Daaah Karibu kwa shingo upande.

Jina likianza na Man daah nawaza tu wale wekundu na Blue bahari.
 
_87171582_liverpoolvarsenal_badges.jpg

Wakuu wa Gunners ushindi leo muhimu sana .. ... ... COYG

e6f9e890-cb9b-44a3-8799-92c69db974db.png

b95245ad-a900-4ae8-b534-7592af83705e.png

COYG ... .... ..... Ding ... Dong
 
Wachezaji ndio wanatoka hivyo ........ ....... ngoja tuone.
 
Back
Top Bottom