Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

And lost 1-5 as well.............khe khe khe khe khe khe

Hiyo lost game haihesabiwi kwenye EPL labda wabadili sheria khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee wivu wa kike. basi hapa JF tunakupa hiyo zawadi khekhe khe khe he khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Khe khe khe khe khe......afadhali kweli kweli!

hahahahaha bora draw kuliko kuwa kama Chelsea. Bado tupo sawa na wanaongoza ligi. Kuanzia tarehe 21 tutaanza kuona mwelekeo wa ligi unavyotoa sura halisi ya nani atabeba kombe, nani atashuka daraja.
 
2EA3322100000578-0-image-a-67_1448032274409.jpg


Bellerin back in training ... ...

2EA30BF300000578-0-image-a-66_1448032253642.jpg


Adelaide was promoted to train with first team ... . .

2EA332F300000578-0-image-a-58_1448031799338.jpg


Dragomir a 16 year old star also joined .. ...

2EA33AB200000578-0-image-a-60_1448031930152.jpg


2EA30FB800000578-0-image-a-61_1448031994591.jpg


Ozil alikuwepo .... ..

2EA30DC500000578-0-image-a-45_1448030631642.jpg


Mtanange wa kesho utakuwa mkali sana kuzingatia Pulis is not a mick mouse coach .... .. but as you know Prof knows Ding .... Dong.
 
zp_592416559_SM_8800_B6_27464F_3299.jpg


zp_592416559_SM_8807_AD_274651_614.jpg



zp_592416559_SM_8868_5D_27465F_5720.jpg


zp_592416559_SM_8708_B1_274640_8480.jpg


Kick -off saa 12:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki (15:00 hrs GMT)
 
kesho mancity loose kwa liverpool klopp kaja na mbwembwe atawafunga mancty ambao pia bado wana majeruhi kibao
wakati ARSENAL tunashinda ugenini
 
Mzee wa kicheko uko wapi??? Nilikuona sana kwa jirani unajichekesha
 
ARTETA ametufungisha,tutaendelea kupoteza mechi kama arteta ataendelea kucheza defensive midfield mpaka hapo coqlien atakapopona atatusaidia hata tushike namba 4,hatuwez chukua ubingwa kwa sababu hatuna depth ya kikosi miaka yote tutakuwa wasindikizaji kama tutaendelea kuwa na mzee mbishi WENGER
 
Back
Top Bottom