zajuza2000
Senior Member
- Feb 13, 2013
- 109
- 48
Hii table hata Jecha hawezi kupindua matokeo.
Madhali goli la mkono lilionekana Jana, jecha anaweza kufanya vitu vyake karibuni tu.
Hii table hata Jecha hawezi kupindua matokeo.
Khe khe khe eeeee Namba 5 bado inatawala siasa za Tanzania Rais wa 5 mwaka 2015 Miaka 55 baada ya Uhuru Uchaguz wa vyama vingi wa 5 na pia anaapshwa tareh 5, na arsenal anakula 👊🏽Leo ni tarehe 5, tunaapisha rais wa 5 na Arsenal kapigwa 5...........khe khe khe khe khe khe khe khe khe.......
Kumbe mnatupenda tunapofungwa tu? Mjae hapa j2 katika ligi pia.
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee msijali sisi na Munchen points draw wametuzidi magoli mawili tu kutokana na majeruhi tuliyokuwa nayo. All in all vijana walijitahidi sana na waswahili wanaema mcheza kwao hutuzwa. Bring them on.
Hodi humu ndani, hamjambo?
Hahhahahahhaha mi mapendo daima mtani,pole sana kwa kichapo aiseee pole sana mtani wangu.