stable-negro
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 509
- 347
nxt victim iz bayern munchen
Aisee leo vp wakuu??? Nasikia Wenger anataka kutumia style ya Kufungwa leo ili tuwe na nafasi nzuri ya Kuchukua EPL Trophy kwani ushindi wetu leo unaweza kutuweka mahala pabaya hasa kiafya kwani tayari Theo na Chamber wapo Benchi, so we need to more improve and look on EPL and FA rather than UCL....Hii mbinu ilitumiwa na Man U kufika top 4 mwaka juzi/jana na pia 2013-14 ilitumiwa na Liverpool na ilibakia kidogo tu achukue ndoo ya EPL...
Hapo vp wadau the Gunners? Always Gunners