Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee msijali sisi na Munchen points draw wametuzidi magoli mawili tu kutokana na majeruhi tuliyokuwa nayo. All in all vijana walijitahidi sana na waswahili wanaema mcheza kwao hutuzwa. Bring them on.


Kweli unajua kujifariji.....officially wana 9pts nyinyi 3pts...its group stage not knockouts!
 
Kweli unajua kujifariji.....officially wana 9pts nyinyi 3pts...its group stage not knockouts!

Sio kujifariji each team plays home and away labda umeanza kushabikia mpira jana khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee we have a chance kwa waliotufunga kama tutawashinda, where is the problem? Huo ndio tunaita wivu wa kike. 9 points hawakuzipata kutoka Arsenal, kwetu wamepata 3 points na sisi tumepata 3 points kutoka kwao. Utajuta!
 
2E3326DA00000578-0-image-m-76_1446907504928.jpg


2E33277400000578-0-image-a-74_1446907421664.jpg



2E3327EE00000578-0-image-a-73_1446907368610.jpg


2E33278A00000578-0-image-a-72_1446907302625.jpg


2E33266100000578-0-image-a-68_1446907133427.jpg


Vijana walikuwa wanajiandaa na derby ya kesho ..... ... ..
 
Idadi kubwa ya majeruhi inatukosti kwa mara nyingine.... Medical team ya Arsenal itakuwa imesomea Muhimbili.
 
Tutashindwa kuchukuwa usukani leo...

Leicester city tunakuja kuchukua nafasi yetu hapo juu

**Tashna atakuwa na furaha sana siku hizi lol

Jamie Vardy anapiga magoli daily kuwazidi mizigo Ozil na Falcao
 
Maskini, mbona safari hii mmechoka mapema? Kawaida yenu wakati wa Christmas ndio mnatolewaga Carling, FA na UEFA. Safari hii mmechoka mapema sana.
 
Polista huwa anafanya game inakuwa safi mno kwa kweli, leo tunaona gap kubwa ya bellarin
 
Leicester city tunakuja kuchukua nafasi yetu hapo juu

**Tashna atakuwa na furaha sana siku hizi lol

Jamie Vardy anapiga magoli daily kuwazidi mizigo Ozil na Falcao

Hahahaha Leicester City wapo moto hadi sasa... Kina Tashna(Duh unavyowakumbuka,nilishawasahau) watakuwa wanavaa jezi ya Jamie Vardy. Summer tutasikia mnampandia Vardy kidau aje OT.
 
Eeeh Mungu naomba matokeo ya hawa arsenal yasibadilike yaani wasirudishe hilo goli bali waongezewe.
Amen
 
Back
Top Bottom