Leo tena siwezi kuona mpira. Haya majeruhi yetu haya Mmmh . Naona hatuna forward player yoyote katika bench.Ipo kazi leo, sijui tutagongwa ngapi !!!???
Hahahaha usiogope Prof atawafanyia miujiza
Mmeshapigwa kimoja.... kwanini huwezi kuona mpira?
Conclusion we're out of CL mapemaaa.Tujipange katika ligi na FA CUP.Nipo mzigoni leo, mkuu
Wenger out! hahaaaa!
Poleni sana
Arsenal nyie wabayaaaaaaa!!!!!