Shia hiyo miBuyern inachezea sifa....khaa....
Hivi ni buyern wazuri saaaaanaaa au arsenal wabovu sana ulaya?
Dah!
Kipindi cha kwanza kimenitosha, nimerudi kulala!
Conclusion we're out of CL mapemaaa.Tujipange katika ligi na FA CUP.Nipo mzigoni leo, mkuu
Ligi ipi mnaweza kuchukua nyie?! labda impelekwe ligi ya wanawake , FA Cup ndio mnaweza kubeba mana ndio makombe yenu, mjitahidi mkifika huko FUTUHI League mlete changamoto, sio mnafungwa tena 5 kama mlikua pungufu.Conclusion we're out of CL mapemaaa.Tujipange katika ligi na FA CUP.Nipo mzigoni leo, mkuu
Kuna maisha nje ya uefa, arsenal tupo vizur ni muda wetu wa kukomaa kwenye ligi na Fa
Hivi ni buyern wazuri saaaaanaaa au arsenal wabovu sana ulaya?
Dah!
Kipindi cha kwanza kimenitosha, nimerudi kulala!