Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Idadi kubwa ya majeruhi inatukosti kwa mara nyingine.... Medical team ya Arsenal itakuwa imesomea Muhimbili.

Hahahaaaaa nimecheka Sana, inamaana huwaamini ma Dr wanaozalishwa kwenye Chuo chetu mkuu???
 
Fukuzeni huyu Wenger hawa wachezaji wenu (watoto) sijawahi kuwasikia popote duniani wakicheza eti ndio wapambane na full mziki wa tot'ham.
 
Kuna gap kulia
Na bado wa kulifukia hilo gap lisionekane sana wenger kamuweka twiga... dahh
Hii game ilitakiwa Gabriel na laurent
 
Hahahaaaaa nimecheka Sana, inamaana huwaamini ma Dr wanaozalishwa kwenye Chuo chetu mkuu???

Bongo tunazalisha wataalamu wa vyeti sio wa ufanisi, mkuu. Si Rais wala mzoa takataka wote ufanisi ni 0-0. Kwa porojo na kujidai ndio tupo 150% above anybody.
 
Eeeh Mungu naomba matokeo ya hawa arsenal yasibadilike yaani wasirudishe hilo goli bali waongezewe.
Amen
Ningeshangaa kama usingetia maguu yako hapa hahaaaa ama kweli adui mwombee njaaa
 
Eeeh Mungu naomba matokeo ya hawa arsenal yasibadilike yaani wasirudishe hilo goli bali waongezewe.
Amen

Una akili sana .... Mungu atakusikia .... Ameen

Kama Dj Khaled anavyosema "You Smart"
 
Hahahaha Leicester City wapo moto hadi sasa... Kina Tashna(Duh unavyowakumbuka,nilishawasahau) watakuwa wanavaa jezi ya Jamie Vardy. Summer tutasikia mnampandia Vardy kidau aje OT.

Vardy akiendelea namna hiyo, itakuwa hamna namna nyingine zaidi ya summer kujiunga na "Timu Bora"
 
Ningeshangaa kama usingetia maguu yako hapa hahaaaa ama kweli adui mwombee njaaa

Ha ha haa nakosajee...
Adui yako mwombee njaa...wataisoma namba...hawawez kutuacha kwa point nne nikacheka nao
 
Back
Top Bottom