Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Very disappointed na hii performance hasa katika defending.Tumeruhusu Magoli mawili ya kizembe kama kawaida yetu.
 
Afu wote wamepanda mbele tutapigwa a sucker punch(counter punch) muda wowote
 
Hahahaha Jumapili baada ya mechi tutasikia nyimbo za Wenger Out

Safi sana Olympiakos

siku hizi unatokea mkishinda au tukipigwa ubaya. Mama mdogo anakuweka busy Brussels. Kwa mwendo huu nakubai jumapili tunakuja kupigwa tena. Defending ilikuwa mbaya sana...
 
Yule Kijana wetu Wellbeck mmeshamuuza au kapewa mikoba ya Diaby ?

Nadhani kuna kitu mkuu. Dogo alikuwa haumii hivi kwenu, kaja kidogo kaumia kama mara 100 kidogo.... Atarudi December.
 
Poleni sana ndugu zangu ila jiandaeni kisaikolojia maana match inayofuata mnamfuata bayern kwake
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
London vipi tena? uploadfromtaptalk1443560121133.png
 
siku hizi unatokea mkishinda au tukipigwa ubaya. Mama mdogo anakuweka busy Brussels. Kwa mwendo huu nakubai jumapili tunakuja kupigwa tena. Defending ilikuwa mbaya sana...

Hahahaha nipo Mkubwa .... kampeni zinanifanya niwe busy lol

Kwa mechi niliyoangalia leo.... jumapili inabidi niwe na stock ya kutosha ya kujipongeza

Martial Magoli itabidi nikamuwekee hela atatupia tuu kwa beki ile
 
Timu yetu ukitoa Sanchez, kwa viwanngo vya ulaya tukubali tu ni ya kawaida kama Celtic tu na kwa England tuseme sisi ni timu ya TOP FOUR.
Sina mengi, usiku mwema.

Dah wewe mkuu unajua sana mpira

cc Pazi
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana kabisa hata Europa ligi tusicheze msimu huu. Poor poor defending, poor goalkeeping(second goal).
 
Hahahaha nipo Mkubwa .... kampeni zinanifanya niwe busy lol

Kwa mechi niliyoangalia leo.... jumapili inabidi niwe na stock ya kutosha ya kujipongeza

Martial Magoli itabidi nikamuwekee hela atatupia tuu kwa beki ile

Kwa matokeo kama haya jumapili ni either kutoangalia mpira,kutoingia JF au kupiga mvinyo then kulala. Vibonde wametugeuzia kibao.
 
Back
Top Bottom