Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa matokeo kama haya jumapili ni either kutoangalia mpira,kutoingia JF au kupiga mvinyo then kulala. Vibonde wametugeuzia kibao.

Ninajua na kule kwingine uta deactivate account yako kama kawaida yako

Jumapili everlenk na cute b watakuwa na raha sana maana Memphis na Martial watacheka na nyavu tuu

Ila masikhara pembeni timu za England zisipofanya vizuri msimu huu, msimu ujao watapunguziwa nafasi moja {kama sijakosea}... kwahiyo mabingwa wa kumaliza wa nne kazi mnayo
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kuna kitu mkuu. Dogo alikuwa haumii hivi kwenu, kaja kidogo kaumia kama mara 100 kidogo.... Atarudi December.

kuna namna katka hili...mana kwe2 huyo dogo mpaka nilikuwa nawaza haumii tu..lakn huko kwenu majeruh kutwa kucha
 
Tunamtesa bure Sanchez hii arsenal sio saizi yake.mzee Wenger ameshindwa kabisa kwenye uhamasishaji ukijua huna wachezaji Wa maana basi angalau uwahamasishe zaidi.
 
Wenger Ana Msaada gani pale! Nilikuwa enzi zake lkn sasa hivi atupishe! Pumbavu kabisa jitu gani halishauliki? Nunua wachezaji hutaki, shida sasa hutaki! Yaaaan wenger! Nayo body ya arsenal hata viongoz wa simba na yanga wanawazidi wangekuwa washatimua ----- huyo.
 
Hahahaha nipo Mkubwa .... kampeni zinanifanya niwe busy lol

Kwa mechi niliyoangalia leo.... jumapili inabidi niwe na stock ya kutosha ya kujipongeza

Martial Magoli itabidi nikamuwekee hela atatupia tuu kwa beki ile

Kuna team itapigwa goli 8 kama enzi zile.
 
Wenger Ana Msaada gani pale! Nilikuwa enzi zake lkn sasa hivi atupishe! Pumbavu kabisa jitu gani halishauliki? Nunua wachezaji hutaki, shida sasa hutaki! Yaaaan wenger! Nayo body ya arsenal hata viongoz wa simba na yanga wanawazidi wangekuwa washatimua ----- huyo.

Hama team mkuu.

Wenger is there to stay.

He has shares in Arsenal, Other owners are happy cause the team makes profit.

Business is good.
 
Safari imeishia hapo wekezeni nguvu kwenye EPL mwakani tukutane UEFA tena.
 
12079213_1597497906957086_6805799357057593495_n.jpg

Don't worry Arsenal Fans. Your next UCL match will be just against Bayern.
 
Ninajua na kule kwingine uta deactivate account yako kama kawaida yako

Jumapili everlenk na cute b watakuwa na raha sana maana Memphis na Martial watacheka na nyavu tuu

Ila masikhara pembeni timu za England zisipofanya vizuri msimu huu, msimu ujao watapunguziwa nafasi moja {kama sijakosea}... kwahiyo mabingwa wa kumaliza wa nne kazi mnayo

Jumapili tunacheza na wateja wetu
 
Last edited by a moderator:
kuna namna katka hili...mana kwe2 huyo dogo mpaka nilikuwa nawaza haumii tu..lakn huko kwenu majeruh kutwa kucha

tatzo la welbeck lilianza alipofunga gol pale old traford na hakuwa na heshma kwa mashabik wa man u maana alikwenda shangilia ktk jukwaa la stertford end lenye die hard fans wa man u...ni kama alijipa laana yy mwenyewe.. man u ni team kubwa inabid uwe na heshma hata kama uliuzwa bla kupenda..
 
Ninajua na kule kwingine uta deactivate account yako kama kawaida yako

Jumapili everlenk na cute b watakuwa na raha sana maana Memphis na Martial watacheka na nyavu tuu

Ila masikhara pembeni timu za England zisipofanya vizuri msimu huu, msimu ujao watapunguziwa nafasi moja {kama sijakosea}... kwahiyo mabingwa wa kumaliza wa nne kazi mnayo
Kama England watafanya vibaya msimu huu na msimu ujao na Italy wakafanya vizuri, kuanzia msimu 2017 ndo watapunguziwa, sio mwakani, nimeona hii kitu BBC sports.
 
Last edited by a moderator:
We still have hope. Soccer ni mchezo wa ajabu, Bayern Munich lazima walale...
1443601052121.jpg
 
Back
Top Bottom