Come on Arsenal. Hii engine ya treni ndio imeanza kupamba moto. Wataipata weekend ijayo.
Hongereni kwa kubahatisha.
Hongereni kwa kubahatisha.
LVG anaanza kuonyesha mambo yake lakini bahati mbaya ARSENAL nayo ndo isharudi.Asante everlenk, na nyie hongereni kwa kuongoza ligi. Naona LvG anaanza kuonyesha mambo yake.
Magoli 5 ni ya kubahatisha sio? Haya mkuu. Na nyie hongereni kwa kuwagonga the relegation contenders wa msimu huu. Vile vile hongereni kwa kuchukuwa nafasi ya 1
Kubahatisha? Five goals ni kibahatisha kumbe...Dah!!