Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuishabikia arsenal ni sawa na kuishi na mke ambaye ni malaya/kahaba lakini unamvumilia tu hvyo hvyo kama vp mashabiki wa arsenal tuhamieni man city kwa mda tu
 
Kuishabikia arsenal ni sawa na kuishi na mke ambaye ni malaya/kahaba lakini unamvumilia tu hvyo hvyo kama vp mashabiki wa arsenal tuhamieni man city kwa mda tu

Man city wenyewe sasa hv majanga.
 
Nimekuja kufunga maturubai njumba hii!

H h h h h h h h h h h h h h h
 
12019946_1598044196902457_4456490151401766292_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Kelele zoooteee hamna hata ndoo moja Ya UEFA champions league! Kha!
Cc. Gang Chomba
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
2CEA599300000578-0-image-a-18_1443607633261.jpg

We are down but we aren't out .... ....

2618726000000578-0-image-a-13_1443607443715.jpg

Next J2 Manure Emirates .... ..
 
12079213_1597497906957086_6805799357057593495_n.jpg

Don't worry Arsenal Fans. Your next UCL match will be just against Bayern.

Bayern ndio mnawaogopa? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Tutacheza bila presha na tutawapiga hiyo tarehe 20 njoo uangalie kitale.
 
Bayern ndio mnawaogopa? Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nicheke mie. Tutacheza bila presha na tutawapiga hiyo tarehe 20 njoo uangalie kitale.

Punguza mbwembwe jomba hats Man utd enzi za babu Fergie tuliwahi kutolewa group stage itakua nyie ? Bayern IPI ya kuifunga bila presha ? MNA defence ya kumzuia Lewandowski dabodabo ?
Sometime ongeeni hali halisi co ushabiki
 
Ninajua na kule kwingine uta deactivate account yako kama kawaida yako

Jumapili everlenk na cute b watakuwa na raha sana maana Memphis na Martial watacheka na nyavu tuu

Ila masikhara pembeni timu za England zisipofanya vizuri msimu huu, msimu ujao watapunguziwa nafasi moja {kama sijakosea}... kwahiyo mabingwa wa kumaliza wa nne kazi mnayo

Next season EPL nafac zao bado ni 4 ....2017/18 ndo wanaweza kupunguziwa nafac 1
 
Last edited by a moderator:
Punguza mbwembwe jomba hats Man utd enzi za babu Fergie tuliwahi kutolewa group stage itakua nyie ? Bayern IPI ya kuifunga bila presha ? MNA defence ya kumzuia Lewandowski dabodabo ?
Sometime ongeeni hali halisi co ushabiki

Tarehe 20 sio mbali usikimbie tu, watu kama wewe tumewazoea, Le Prof yupo katulia vijana wanafanya mazoezi hatuna wasi wasi na na wapita njia. Unaleta udaku wa Fungie hapa ambaye alikuwa anashinda kwa brown envelopes aibu! khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee We aren't a mickey mouse club we are Gunners.
 
Sante... mwaka mbaya kwetu....

Manchester United currently top the Premier League table after seven games, and have lost just one of their last 12 Premier League games against the Gunners.

May be this could be LUCKY 13TH....
 
Back
Top Bottom