Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Our defence still suck. Haya mambo yatatuangusha msimu huu.... Tuna concede magoli rahisi rahisi.
 
Timu hii inazidi kunijeruhi! maumivu kila kona. Duh kwaherini tutaonana mwaka mpya 2016
 
Aiseee poleni sana,hakuna kitu kinaumiza kama hiki unarudisha matumaini dakika hiyohiyo yanapotea .
 
Back
Top Bottom