Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game over na Arsenal wameanza vibaya kombe la mabingwa wa Ulaya.

Arsene Wenger ameidharau hii timu na kupelekea kufungwa, wapenzi wa Arsenal tuwe wakweli kwenye hili.
Poor Wenger... hakuona ile kadi nyekundu ya Girou ilikuwa inakuja? Kwa makosa ambayo Girou alifanya na ukali wa mwamuzi, Wenger ilimpasa kumtoa Girou baada ya kadi ya mwanzo.

Barca alifungwa bao safi leo. Hiyo ndio ilikuwa mechi ya kuangalia leo.
 
Poor Wenger... hakuona ile kadi nyekundu ya Girou ilikuwa inakuja? Kwa makosa ambayo Girou alifanya na ukali wa mwamuzi, Wenger ilimpasa kumtoa Girou baada ya kadi ya mwanzo.

Barca alifungwa bao safi leo. Hiyo ndio ilikuwa mechi ya kuangalia leo.

Nimeona hilo goli, ni lile goli linalofungwa dhidi ya mpinzani wako anaekusumbua kwa kuatumia watu kama Messi.
 
Poor Wenger... hakuona ile kadi nyekundu ya Girou ilikuwa inakuja? Kwa makosa ambayo Girou alifanya na ukali wa mwamuzi, Wenger ilimpasa kumtoa Girou baada ya kadi ya mwanzo.

Barca alifungwa bao safi leo. Hiyo ndio ilikuwa mechi ya kuangalia leo.

Mhhhhh mechi ya kuangalia???! Kulikuwa na mechi inaboa kama ile kwa zilizochezwa jana kweli? Au unazi tu!!!!
 
#ZAGvAFC debuchy, gibbs, giroud, the ox, arteta and ozil were way below par, COYG, wake up, work harder, fair and smarter..
 
Mkuu Kashengo, kama priority ni EPL basi angeanza na timu ngumu, yaani nyuma Hector Berelin, Nacho Monreal na Mertesacker wangeanza kule nyuma.

Pale katikati Coquelin , Ramsey na Walcott wangeanza kule mbele na Arsenal wangeifunga Dinamo Zagreb au kutoa sare ya 1-1 au 0-0.

Mikael Arteta, Mathieu Debuchy, Gabriel Paulista na Giroud wpote wangeingia kipindi cha pili na wale watakaoanza Jumamosi na Chelsea wangepumzishwa.

Si umeona Coquelin na Walcott wamekuja kipindi cha pili na wamerudisha heshima ilopotezwa na Arteta na Debuchy?

Ni planning tu na si vinginevyo.

Bila hayo bado Arsene Wenger alitakiwa asajili DM na Striker mwingine na ndio ambao wangeanza kucheza leo.

Rotation inatakiwa ifanyike kuwapa Exposure bench warmers wasipoteze confidence yao mazima

Debuchy na Arteta Confidence zao zimekwenda mazima sababu ya kusugua benchi
 
Jana ozil amecheza km striker ndani ya dakika chache lakini alikuwa na impact kuliko giroud
 
Mhhhhh mechi ya kuangalia???! Kulikuwa na mechi inaboa kama ile kwa zilizochezwa jana kweli? Au unazi tu!!!!
Nimekosea kuandika, nilikusudia mechi ya kuangalia ilikuwa baina ya Ze bluuzz na Makapi wavivu. lol

Kwa hiyo hukuangalia Roma vs Barca?

Unazi ni nini?
 
preshaaa imeanza.....
Chelsea are like a wounded animal

A couple of seasons ago, Arsenal really suffered in these Saturday lunchtime kick-offs against the other top teams.

They lost their away games against that year's top three, Manchester City, Liverpool and Chelsea, with an aggregate score of 17-4, conceding eight of those goals in the first 17 minutes of the games.

This time, they cannot afford a slow start or any sort of a hangover from their Champions League group defeat in Croatia on Wednesday.

The Gunners will need to have steel in their game from the off because Chelsea are like a wounded animal at the moment, and I think they might react by going on the attack.

After the week that Arsenal have had, they do not want to be conceding early at Stamford Bridge.

Link BBC Sport - Why beating Arsenal would end Chelsea's nightmare start
 
zp_578128303_SM_1910_23_12BCDD_9802.jpg


Vijana walikuwa wanajinoa mara ya mwisho leo kabla ya mpambano wa kwenye Cowshed ....


zp_578128303_SM_1968_BF_12BCE3_6957.jpg


Cech alikuwepo .... ..

zp_578128303_SM_9332_B9_12BCF1_4062.jpg


OG na Carz .... ...

zp_578128303_SM_9459_A0_12BCFF_5398.jpg


Prof kama kawa ...... right down to the details ..... ..
 
zp_578128303_SM_9469_E1_12BD01_3738.jpg



zp_578128303_SM_9499_8F_12BD03_3780.jpg



zp_578128303_SM_9543_58_12BD08_3991.jpg


zp_578128303_SM_9567_DF_12BD0B_5344.jpg



zp_578128303_SM_9578_CD_12BD0C_936.jpg


Rambo hakusafiri kwenye CL kuchubiri huu mtanange .... . .

zp_578128303_SM_9556_BE_12BD09_7264.jpg


Hector {left} was left as well .... ....
 
Wakuu mpo?

Basi tuangalie mtanange leo ukiwa ndani ya daraja la Stamford lililopo magharibi mwa jiji la London.

Arsenal wanaingia uwanjani wakiwa mbele ya Chelsea kwa points 6.

Team News

Arsenal wanacheza, timu ikiwa ni ile iloifunga Stoke City.

Kipa Cech, beki wa kulia Bellerin, walinzi wa kati-Gabriel na mkoba ni Koscielny, beki wa kushoto Monreal, namba 6 ni Coquelin, namba 7 Cazorla, namba 8 ni Ramsey, mshambuliaji wa pembeni kushoto Mesut Ozil, namba 10 ni Sanchez, na mshambuliaji namba 9 ni Walcott

Wachezaji wa akiba- Ospina, Debuchy, Gibbs, Chambers, Arteta, Oxlade-Chamberlain, na Olivier Giroud

Chelsea

Begovic; Ivanovic (c), Zouma, Cahill, Azpilicueta; Matic, Fabregas; Pedro, Oscar, Hazard; na mbele kuna mshambuliaji Diego Costa

Wachezaji wa akiba kuna Blackman, Terry, Mikel, Ramires, Loftus-Cheek, Falcao, na Remy.
 
John Terry leo tena amerudishwa kwenye bench kutokana na uwezo mdogo wa kukimbia ambao anao kwa sasa (umri wake ni miaka 34) kwani Mourinho ametambua kwamba Arsenal wanaanza na Theo Walcott kule mbele hivyo ni jambo la muhimu kuanza na mabeki Kurt Zouma (ana umri wa miaka 20 ) na Gary Cahill kwenye safu ya back four.

Hivyo kwa maana ingine ni kwamba John Terry amepoteza nafasi yake kwa baadhi ya mechi kwenye first X1
 
Francia Coquelin anamwangusha Costa lakini mwamuzi Mike Dean anamwonya kwa maneno.
 
Theo Walcott alitanguliziwa mpira na Berelin lakini ukawa mkubwa na umetoka imekuwa ni goal kick.

Dakika inakwenda ya 5
 
Back
Top Bottom