Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika inakwenda ya 15 na Theo Walcott anaotea kwa mara ya tatu pili sasa akichezewa offside trick na back 4 ya Chelsea.
 
Mbona Arsenal ananyanyaswa hivi kwenye 18 yake? Hakutakuwa na penalt hapa kweli
 
Chelsea nao wameanza kucheza mpira wanashambulia, huku Eden Hazard na Cesc Fabregas na Pedro wakiwa ndio wapikaji wa vyumba.
 
injury_3445961b.jpg

Francis Coqueloin ameumia goti hivyo kuleta hali ya wasiwasi.

Ni baada ya kuruka juu na alipofika chini imeoekana amefikia goti.

Lakini yupo fit na anaendelea na game
 
Arsenal wameruhusu sehemu ya kiungo ipwaye hivyo kukaribisha mashambulizi ya mara kwa mara.

Dakika inakwenda ya 24
 
Santi Cazorla anampiga kiatu mhispania mwenzie Pedro na iankuwa adhabu ambayo kidogo izae goli kwa Chelsea lakin kipa wa Arsenal Petr anadaka.
 
Back
Top Bottom