Ramsey anakosa hapa ..... .... ..... end to end now as the halftime nears ... .... ... . Costa anaanza fujo zake ...what a shame. Yellow for Costa & Gab fujo bado zinaendelea ... ........
Red Card za football ya miaka hii kwa wachezaji wa zamani foul zao wangepewa Red Card 3 wakati mmoja hizi Catfight zimekuwa Red card siku hizi basi wangetolewa wengi game hii Leo.
Habari za mapumzikoni ni kwamba Arsenal watapinga hio kadi ya njano na pia FA wataangalia vitendo vya Diego Costa kwa kungalia pia taarifa ya Mike Dean.
Kama Mike Dean atasema hakuona Costa akimpiga usoni Laurent Colcielyn basi wataangalia video evidence na kubadilisha kadi kuwa nyekundu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.