Mpira ni mapumziko.
Arsenal wanakwenda mapumziko huku wakiwa nyuma kwa goli 1 -0
Na kwa kusahihisha tu ni kwamba goli hilo ni la kujifunga na Alex Oxlade Chamberlain ndie aliefunga goli hilo nyavuni kwake.
hivi uyu jamaa mpaka leo atakua kajifunga magoli mangapi kwa ligi zote
Alipotza mpira kwa mshabuliaji wa Zagreb na akawa anajaribu kutaka kumpokonya huo mpira lakini akajikuta anauingiza wavuni kwake.
mmh ile ni rebound ya kipa imemkuta akiwa katk motion hakuweza kujizuia na akajifunga..na si kama ulivyosema richy..