Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika inakwenda ya 60

Dinamo Zagreb 2 Arsenal 0

Arsenal wameidharau hii timu na wamekumbushwa kuwa huu ni mpira usipende kuzidharau timu ndogo.
 
Joel Campbel kakumbukwa leo na anajianda kuingia yeye na Theo Walcott na Francis Coquelin

Arteta na Gibbs na Ox nje
 
Mpira wa adhabu unapigwa na Ozil na anampa Sanchez.

Sanchez anapiga na anapaisha inakuwa goal kick.

Dakika inakwenda ya 67
 
Dakika iankwenda ya 70 na Arsenal wana dakika 20 za kutafuta angalau goli la kwanza.
 
Zagreb nao wanamtoa Junior Fernandez ambae ni mfungaji wa goli la pili na anaingia Ante Coric

Junior ni rafiki wa Alexis Sanchez nae anatoka Chile.

Dakika inakwenda ya 74
 
Is it not Theo?

Ahsante mkuu kwa kunirekebisha ni Theo huyo.

Hawa vijana wanakimbia sana na nilidhani Campbel ndie kaenda kufunga.

Haya tuendelee na tuna dakika 7 zimebakia pamoja na za nyongeza.
 
Kwa mara nyingine tumeanza kwa vibaya tena.Tujipange mechi 5 zijazo tuondoke na ushindi
 
Back
Top Bottom