Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

washabk wengne wa arsenal mnanishangaza sana, kweli timu inatakiwa kusajili ila sio kusajili mchezaji yeyote tu....kama hujapata wa kusajili unavunga na hakuna ulazima kuongeza idadi ya wachezaj weng ambao sio productive kwa timu
 
duh,nafac ya 4 itatafutwa kwa tochi
tutamaliza chini ya spurz,westham,city,chelsea,swansea,villa nk✌

Tulia mkuu Arsenal itarudi kucheza mpira.

Tukirudi baada ya mapumziko ya wiki moja tunaanza na Stoke City, halafu CL na Dynamo Zagreb, halafu tunakwenda Stanford Bridge kwa Maurinho na pia kwenda kwa Tottenham.

Hizoi mechi ukiondoa ya Zagreb ndizo zitaonyesha Arsenal at the full force.
 
we na we inamana humjui meakmeal uyo ni rapa wa marekani katupia jezi tu..usiabishe ayo majina ya mangi mkuu

sawa mkuu ila sio kweli kila mangi anajua sana kuhusu marapa mi sio mfuatiliaji na ninao wajua ni wachache mno tena wale maarufu sana
 
duh,nafac ya 4 itatafutwa kwa tochi
tutamaliza chini ya spurz,westham,city,chelsea,swansea,villa nk✌

Prof knows ana wachezaji wa kutosha, sasa hao wa ziada angewapeleka wapi? Yeye ndiye anapanga kikosi, ushindi sio wingi wa kununua wachezaji, na wala ndio kubeba mataji, Manure wametumia kiasi gani na wako wapi? Totts, Chelsick etc. Sasa ndio EPL itaanza rasmi, mtaona matokeo yake hiyo mizoga iliyonunuliwa haitatamba ....... ....... tulikuwa tunamuhitaji Cech tu. Ding ,,, Dong. COYG

Bila kuitaja Chelsea hakuna kuridhika Chelsea walinunua wakatwaa mataji weka man u,tot na man city the blues wape heshima yao
 
Mpaka sasa bado siamini kama tumemsajili Cech tu.
Mlikuwa mnahitaji huyo tu ili kutwaa ubingwa. Sasa tulieni ili Mtaalamu, Prof. Wenger awachukue kwenye Roller coaster ya msimu huu. Funga mkanda!!!
 
Kikosi hichi akiumia carzola au ozil au coqlin itakuwa kama misimu iliopita akaumia flamin au fabi,,tuna kikosi kimoja tu kisicho na mbadala na kinatakiwa kushiriki UEFA,,EPL,,FA,,CARLING nk huyu babu ana mbadala kwenye kipa tu.Hivi mtu kama Chambers angesimama siku ya WESTHAM tungepigwa ngapi? Sitarajii tena makubwa kutoka kwa Wenger.Natamani Gardiola akimaliza mkataba bayern aje atuletee zama mpya.
 
Mkuu mimi namwamini Wenger.

Huyu mzee ana akili sana na wapenzi wa hii timu sasa ndio wanaelewa.

Anakiaminia kikosi chake na inasemwa kwamba kikosi kilikuwa kwenye hibernation period baada ya summer intensive training lakini baada ya hii international break kikosi kinarudi kwa nia moja tu, "kamata Man City"

Tupo nyuma ya Man City kwa 5 points tu na sio Maurinho ambae amekataliwa na Everton kumsajili John Stones.

COYGs!!!!
Endeleq kumwamini mpaka uzeeke,mimi nakuwa dr slaa wa soka,napumzika
 
Arsenal wamewasilisha kwenye makao makuu ya UEFA, orodha ya wachezaji 25 ambao watashiriki kwenye mashindano ya kombe la klabu bingwa za Ulaya.

Orodha hio imepangwa katika sehemu mbili yaani A na B na Orodha A ina wachezaji 17 na orodha B ina wachezaji 7 ambao wana nyota ikimaanisha kwamba wao pia wachezaji walokuuzwa na Arsenal Academy yaani "Home Grown Players".

Meneja Arsene Wenger ameamua Joel Campbel abakie kwenye timu ili kuongeza idadi ya washambuliaji sita pamoja na wadogo wawili yaani Alex Iwobi na Chris Willock.

Pia Mathieu Flamini nae ameambiwa ataendelea kuchezea Gunners hadi mwisho wa mkataba wake.

Mechi ya kwanza ya Arsenal itakuwa ugenini mjini Zagreb kati yake na Dynamo Zagreb.

Ifuatayo hapo chini ni orodha kamili.

2BEAF1BB00000578-0-image-a-14_1441226004727.jpg


COYG!!!!
 
Arsenal wamewasilisha kwenye makao makuu ya UEFA, orodha ya wachezaji 25 ambao watashiriki kwenye mashindano ya kombe la klabu bingwa za Ulaya.

Orodha hio imepangwa katika sehemu mbili yaani A na B na Orodha A ina wachezaji 17 na orodha B ina wachezaji 7 ambao wana nyota ikimaanisha kwamba wao pia wachezaji walokuuzwa na Arsenal Academy yaani "Home Grown Players".

Meneja Arsene Wenger ameamua Joel Campbel abakie kwenye timu ili kuongeza idadi ya washambuliaji sita pamoja na wadogo wawili yaani Alex Iwobi na Chris Willock.

Pia Mathieu Flamini nae ameambiwa ataendelea kuchezea Gunners hadi mwisho wa mkataba wake.

Mechi ya kwanza ya Arsenal itakuwa ugenini mjini Zagreb kati yake na Dynamo Zagreb.

Ifuatayo hapo chini ni orodha kamili.

2BEAF1BB00000578-0-image-a-14_1441226004727.jpg


COYG!!!!
Tujipe tu matumaini maana sioni kama tutaleta ushindani kwa kikosi hiki.
 
Tusikate tamaa timu bado ipo vizuri!
COYG
Hakuna timu ingine kwenye Epl iliyo vizuri kama timu ya Mr. Bean.

Huu ndio mwaka wa washabiki wenye mioyo ya titanium alloy watakavyofurahia Roller coaster ya Epl.

Tathmini baada ya mechi 15.
 
Subiri atakapoumia,Kuna tatizo la majeruhi hapo Chambo, Ramsey, Welbeck, Walcott, Wilshere, Ozil hawa hawawezi cheza game 6 bila kuumia

Tuweke matarajio tu kwamba hataumia,,labda arudishwe kucheza beki kama mechi ya kwanza,,ila huu ni msimu wake.Walcot ndo huwa anaumia sana.
 
Sio siri dogo yuko vizuri lakini tatizo lake pancha nyingi. Tuombe msimu huu awe fit kwa kipindi kirefu

Pancha tusiitarajie ila kama nyota yake ilivyoanza kung"aa tuwe na imani kwamba hakuna cha kumzuia.Ila nakuwaga na hofu tu akiwa kwenye peak anakamiwa sana.
 
3345595.jpg


Ama kweli Paul Merson kachoka. Eti C.Palace watamaliza nafasi ya 5 juu ya majogoo. Jamaa anayadharau majogoo kiasi hiki cha kuyadharirisha hadharani lol. Hii itakuwa ni sawa na kusema Tanzania itakwalifai kucheza kombe la Dunia Urusi hahahaha.

Cc DonDonald, Nzi, Pazi, Belo, Herrera,Wacha1, Malafyale, RRONDO, everlenk
 
Back
Top Bottom