Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger Utafikiri kakulia kwenye mfumo wa CCM.Na kadiri anavyozeeka ndo anazidi kuwa hopeless.Anavyomuamini giroud ni kama 2007/08 kwa Adeboya,,timu inaumia lakini hafungi mkumbuke Fabrigas,Nasri,Flamin na Hlieb.Hajifunzi kwa makosa.Kadiri siku zinavyoenda anabaki the same.Na sasa ana straika wake mfaransa hasikii.Yetu macho.
 
Wakuu mpo?

Habari za Usajili

f6fd6e88-21fb-4f0d-9568-dab64e732665.jpg

Arsenal bado wametulia, wanangoja ku-activate attack na kama watafanya ivyo basi litakuwa ni dau kubwa.

Bado Arsenal wanaangalia uwezekano wa kumsajili Edinson Cavani na kiungo Rabiot.

Ila PSG sidhani kama watafikiria suala hilo kuzingatia na muda mchache, lakini ili kuondokana na mshahara mkubwa wanaowalipa wachezaji hawa, wanaweza kufikiria.
 
Vipi tena mpasha habari wetu?

Dirisha ulisema lishafungwa, au Wenger ameona ufa kwenye dirisha hilo ambalo anaweza kuwapitisha hao watumainiwa?
 
Vipi tena mpasha habari wetu?

Dirisha ulisema lishafungwa, au Wenger ameona ufa kwenye dirisha hilo ambalo anaweza kuwapitisha hao watumainiwa?

Ulikuwa hujaelewa.

Dirisha katika nchi zingine za Ulaya limefungwa jana, isipokuwa nchini Uingereza ambapo linafungwa leo saa 12 za jioni za UK.

Timu yoyote ya UK inaweza kumsajili mchezaji yoyote kutoka katika nchi hizo za Ulaya.
 
BREAKING NEWS:

Arsenal wamefanya mazungumzo na PSG

Haijulikani ni kuhusu mchezaji yupi lakini inaweza kuwa ni Zlatan Ibrahimovic na si Cavani.

Tunaendelea kuona mwisho.
 
Revealed: Why Arsenal's bid to sign £50m PSG and Uruguay striker Cavani has crumbled

ARSENE WENGER is reportedly reluctant to spend £50m on Paris St-Germain striker Edinson Cavani.

By Alex Harris / Published 1st September 2015

23

The Arsenal boss is willing to sign a new striker but would only splash the cash on a No.9 seen as inferior to Real Madrid star Karim Benzema, according to Daily Mail journalist Rob Draper.

A host of big names have been linked with a move to the Emirates including Benzema, Cavani, Bayern Munich's Robert Lewandowski and Dynamo Moscow's Aleksandr Kokorin.

France international Benzema is Wenger's top target but he shot down the transfer talk on Twitter last week.

That has left Arsenal scratching around for a new striker and club chiefs reportedly held talks with PSG over Uruguay international Cavani.

Arsenal transfer news: PSG striker Edinson Cavani not joining on deadline day
Digsby
IM, Email, and Social Networks in one easy to use application!
http://kvors.com/click/?s=88377&c=89569&subid=21715
AFP
NO GO: Arsene Wenger has reportedly ruled out signing Edinson Cavani for £50m
But the French champions' £50m demand has put off Wenger.

Draper tweeted: "It seems that #AFC unlikely to take Cavani today. Extreme reluctance to pay £50m for 28 yr old.

"Not that Wenger doesn't appreciate need for striker.

"Really wanted Benzema, reluctant to spend that money on player he doesn't think as good."
 
BREAKING NEWS:

Arsenal wamefanya mazungumzo na PSG

Haijulikani ni kuhusu mchezaji yupi lakini inaweza kuwa ni Zlatan Ibrahimovic na si Cavani.

Tunaendelea kuona mwisho.

Ila si alikua na lengo na player wawili Cavan pamoja na Rabiot au ndio ameamua kudeal na uyo mido
 
Ila si alikua na lengo na player wawili Cavan pamoja na Rabiot au ndio ameamua kudeal na uyo mido

Wenger hataki kulipa paundi milioni 50 kwa Cavani na ndio maana anaangalia unafuu wa gharama kwa huyo Zlatan.

Kuhusu Rabiot PSG wanasema itakuwa ngumu labda Arsenal waongeze dau Wenger anataka walipe milioni 60 kwa Cavani na Rabiot.
 
Zimebakia dakika 15 dirisha la usajili nchini Uingereza lifungwe.
 
That's it dirisha limefungwa na kuna masaa kama mawili tu kukamilisha paperwork.

Arsenal kwa mara ingine tena wameamua kutosajili mchezaji yoyote.
 
Vipi tena mpasha habari wetu?

Dirisha ulisema lishafungwa, au Wenger ameona ufa kwenye dirisha hilo ambalo anaweza kuwapitisha hao watumainiwa?
Nonda umenivunja mbavu sana we jamaa ko dirisha limepata mtikisiko likapata UFA 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Last edited by a moderator:
I can assure you, if an exceptional player was available we would have done it. Were Messi and Ronaldo available? At the moment, no.
 
Vipi tena mpasha habari wetu?

Dirisha ulisema lishafungwa, au Wenger ameona ufa kwenye dirisha hilo ambalo anaweza kuwapitisha hao watumainiwa?

Ukiwa na stress ukiingia JF dakika 5 tu zinaisha
 
That's it dirisha limefungwa na kuna masaa kama mawili tu kukamilisha paperwork.

Arsenal kwa mara ingine tena wameamua kutosajili mchezaji yoyote.

Prof knows ana wachezaji wa kutosha, sasa hao wa ziada angewapeleka wapi? Yeye ndiye anapanga kikosi, ushindi sio wingi wa kununua wachezaji, na wala ndio kubeba mataji, Manure wametumia kiasi gani na wako wapi? Totts, Chelsick etc. Sasa ndio EPL itaanza rasmi, mtaona matokeo yake hiyo mizoga iliyonunuliwa haitatamba ....... ....... tulikuwa tunamuhitaji Cech tu. Ding ,,, Dong. COYG
 
Mkuu mimi namwamini Wenger.

Huyu mzee ana akili sana na wapenzi wa hii timu sasa ndio wanaelewa.

Anakiaminia kikosi chake na inasemwa kwamba kikosi kilikuwa kwenye hibernation period baada ya summer intensive training lakini baada ya hii international break kikosi kinarudi kwa nia moja tu, "kamata Man City"

Tupo nyuma ya Man City kwa 5 points tu na sio Maurinho ambae amekataliwa na Everton kumsajili John Stones.

COYGs!!!!
 
duh,nafac ya 4 itatafutwa kwa tochi
tutamaliza chini ya spurz,westham,city,chelsea,swansea,villa nk✌
 
Back
Top Bottom