Transfer Updates:
Wakati Deal la Karim Benzema likiwa tayari limekufa kutokana na Real Madrid kuwa wagumu kumuachia mchezaji huyo, meneja Arsene Wenger jioni hii ameenda Paris kuangalia uwezekano wa kufanya usajili wa dakika za mwisho.
Wenger akitafuta kiti ndani ya ndege kuelekea Paris jioni hii.
Wenger alikuwemo kwenye ndege iliokuwa ikielekea Paris jioni hii kutokea London.
Wachezaji ambao mpaka jioni hii walikuwa wakifuatiliwa ni mshambuliaji Edinson Cavani na kiungo mlinzi Adrien Rabiot ambao kwa pamja wanaweza kugharimu kiasi cha kama paundi milioni 65.
Basi tukutane kesho asubuhi kwa habari zaidi.