Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ander Marriner ametoa kadi sita za njano moja kwa Arsenal na 4 za njano na moja nyekundu kwa Newcastle.
 
Arsenal leo wameshindwa tena kufunga magoli na si Theo Walcott wala Olivier Giroud ambao mmoja wao yupo tayari kuwa mfungaji wa kutegemewa.
alexis_san_3423208b.jpg

Alexi bado anaonekana kachoka.

Walcott na Giroud wote wamekosa magoli mawili ya wazi.

Pia jambo lingine nililoliona ni kwamba Alexis Sanchez bado anahitaji kupumzika na hajawa katika ile level inayotarajiwa.

70079baf-87c4-42f3-b52b-903a9540b3df.jpg

Arsenal walikuwa wakikabiliana na mtindo wa 10 men behind the ball.
 
Ander Marriner ametoa kadi sita za njano moja kwa Arsenal na 4 za njano na moja nyekundu kwa Newcastle.
Leo ilikuwa ni siku pekee ambayo Arseanal walizawadiwa na mwamuzi ili waweze kufunga mabao yasiyopungua 5.
Kwa uchezaji huu wa Arsenal mtasubiri miaka ingine 5. Man city anatandika timu zembe 3 tatu. Na Chelsea wangelizawadiwa nafasi hii ya kadi nyekundu mapema, tungelijikumbusha yale ya Chelsea 6 na Arsenal 0.

Kama muhimu kwenu ni pointi 3 tu, mmezipata lakini zitawasogeza tu kupigania nafasi ile ya Wenger, top what?
 
Theo Walcott sio striker!
TANESCO pia wameniboaa balaa mpaka kura yangu wameikosa hivi hivi. Nimelipa buku kibanda umiza, nisu saa tu wameshakata umeme!! WAMENIUDHI sana.

..hamna jenereta pande hizo? nxt tym peleka pesa yako mahala salama zaidi..
 
Leo ilikuwa ni siku pekee ambayo Arseanal walizawadiwa na mwamuzi ili waweze kufunga mabao yasiyopungua 5.
Kwa uchezaji huu wa Arsenal mtasubiri miaka ingine 5. Man city anatandika timu zembe 3 tatu. Na Chelsea wangelizawadiwa nafasi hii ya kadi nyekundu mapema, tungelijikumbusha yale ya Chelsea 6 na Arsenal 0.

Kama muhimu kwenu ni pointi 3 tu, mmezipata lakini zitawasogeza tu kupigania nafasi ile ya Wenger, top what?

Wala usiwe na hofu na Arsenal kwani ni afadhali hilo goli moja la ugenini na Man Utd walishindwa kuwafunga ndani ya Old Traford.

Arsenal bado wana rekodi nzuri ya mechi za ugenini na wanaendeleza hivyo baada ya Crystal Palace.

Newcastle walionekana waoga na ndio wakajaza basi lakini Arsenal tulistahili kushinda mechi hii.

Arsenal itafanya usajili dakika za mwisho huo ndio mtindo wao.
 
Arsenal tukiendelea hivi tutakuwa katika hali ngumu msimu huu.
 
ishu ni kwenye finishing....yan chances created 20 then only 1 goal, hiz pressure cjui mpaka lin....
 
..hivi kama petr cech asingekuja arsenal ina maana Wenger angekua hajasajili yeyote mpk ss? au ujio wa cech ndio umetuvurugia mipango yetu ya awali kumsajili kiungo mkabaji na striker? km tunavyojua ubahili wa huyu mzee?!
Kwann nafasi za muhimu tunazotaka kusajili (holding midf. na striker) wanazocheza hizo nafasi ni wafaransa,sio kwamba wenger anamsaidia kocha wa taifa lake kulinda viwango vya hawa watu kwa ajili ya Euro 2016 ambayo watakua wenyeji? kati ya arsenal tunaomlipa mshahara na timu yake ya taifa bora nn?! gunnerz nina maswali kilo 3 kwa huyu mzee i wish ningekutana nae ht robo saa tu...!!
Yes tumeshinda sawa ila is not convincing at all..hii timu clearly kbs inaonekn mbele ya safari mambo yatazidi kuwa magumu,hivi huyu mzee ni kwl haioni hii situation au kiburi tu?! ok,tatizo ameshaiona timu km ya kwake rubbish,
#wengerout!
 
Licha ya ushindi lakini timu imekuwa haiko katika ubora. Tukiendelea hivi tutajuta baadae
 
Huyu mzee si bure anatuzingua sana yani pesa anayo kusajili hataki sasa what's da point yani duuu
 
mdogo mdogo 2 2nafika 2takako (top of the summit), chamcngi 2cfungwe na wakubw wenze2 2
 
Leo ilikuwa ni siku pekee ambayo Arseanal walizawadiwa na mwamuzi ili waweze kufunga mabao yasiyopungua 5.
Kwa uchezaji huu wa Arsenal mtasubiri miaka ingine 5. Man city anatandika timu zembe 3 tatu. Na Chelsea wangelizawadiwa nafasi hii ya kadi nyekundu mapema, tungelijikumbusha yale ya Chelsea 6 na Arsenal 0.

Kama muhimu kwenu ni pointi 3 tu, mmezipata lakini zitawasogeza tu kupigania nafasi ile ya Wenger, top what?

Acha tu jombaaaaaa
 
Hivi ma shabiki wenzangu humu ndani,kwa jinsi timu yetu ilivyocheza leo na newcastle na mechi zake za nyuma kwa ujumla tunaweza tukaleta ushindani kwenye ligi hii mwaka huu bila ya kufanya usajili wa kiungo mkabaji na straika wa maana??kwa hali inavoendelea arsenal hatupo vzur kabisa
 
Prof waonyeshe hawa nguchiro wanafikiri EPL ni cha ndimu ..... .... COYG
 
Back
Top Bottom