Nyangi Marwa Chacha
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 202
- 55
Kwani ni vibaya Arsenal kushinda
Hv wadau vp kuhusu suala la wenger kumsajili cavan linaendeleaje
Transfer Updates:
Arsenal wamemkosa tena Julian Draxler ambae muda mfupi ulopita amekamilisha usajili na timu ya Wolfsburg ya Germany akitokea Schalke.
Hv wadau vp kuhusu suala la wenger kumsajili cavan linaendeleaje
29 years old kutoka ligi nyingine na ana struggle. Hana tofauti na Falcao!! Afadhari hata lukaku.
Wenger hachukuagi wachezaji waliomlingia kabla na umri umeshaenda hivyo kwa Higuian sidhani kama yupo kwenye mahesabu na hiyo price tag yake haiendani na kiwango chake, Wanyama will fit like a glove na Benzema ila Wenger sidhani kama anaweza toa hilo dau! Maybe Draxler ila tatizo yeye ni regular wa meza ya wagonjwa!Wakuu mpo?
Mzee Wenger sasa ndio ameingia sokoni.
Tupo hapa tunaangalia huku na kule.
Kama nilivyokishaorodhesha wale wachezaji ambao Wenger amewaagiza Ivan Gazidis, Richard Low na Robert Grimandy wafanye hima kukamilisha usajili wa ama Karim Benzema ambae atagharimu milioni 50, Gonzalo Higuaín ambae atagharimu milioni 69.1, Julian Draxler, Edinson Cavani, Victor Wanyama na Alexandre Pato.
Kuna majina mengine ambayo ndio yanaingizwa kwenye tanuri la uchaguzi.
Yeyote kati ya hawa anaweza kunyakuliwa na Arsenal kwenye kipindi cha masaa 24 yajayo.
Hamtaki ila naona kama angalau, nimesema hivyo kumaanisha kuwa kuna wachezaji EPL ambao tayari ni wazuri na bado wadogo!Kwan wenger anamtaka lukaku