Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ahsante mkuu mimi napenda mpira na Arsenal ni timu nnayoipenda sana.

Ila mimi sikucheza sana mpira lakini nnacho kipaji cha kuchambua wachezaji na hivi karibuni nimejiunga na mascouts walio na kazi ya kutafiti wachezaji.

Tatizo wachezaji wa kutoka Afrika kwa sasa ni vigumu sana kupenya labda waende kwa mpangp wa baadhi ya watu walio na connections kwenye timu za Ulaya.

Lakini kwa muda wote ambao nimeishi katika bara la Ulaya nimejifunza u-scout wa kutafuta vipaji vya wachezaji.

Hivyo nikiwa uwanjani pamoja na kwamba naisupport Arsenal lakini pia huwa naangalia new edition against the established na ndio kilichotokea leo.

Dogo Reece leo ndio ilikuwa ndio mechi yake ya kwanza ya ligi kuu ya Uingereza na ameonyesha kwamba anaweza kukabiliana na watu kama Ozil pale kwenye kiungo.

Pia leo yeye alikuwa ndie DM wa West Ham.

Ukuzaji wa vipaji na ukaviendeleza ndio njia pekee ya kuwa na timu imara yenye wachezaji walozoeana.

Lakini ikifika wakti fulani unatakiwa uangalie na uzoefu pia na juzi tu Henry amemwabia Wenger kwamba Giroud sio mmaliziaji mzuri na inabidi Wenger amsajili Benzema, amemwambia ukweli bosi wake wa zamani.

Hivyo kama kweli Benzema yupo London hivi sasa, basi atakamilisha usajili wiki hii.

Shida mzee ana falsfa za kipuuzi bado anaile kitu timu haiwez kumtegemea mtu mmoja Katika ufungaji na ndio mana anaona Sawa kumtumia Giroud pale mbele bila kuona mapungufu yeyote yan huyu mzeee pesa zipo analeta zake yani daah
 
11144790_1530330850340459_7506135046915068655_n.jpg

Ay we got u Mentor mtu mmoja alisema uwezo wa kurahisisha kazi kwa kupunguza mzigo ili kilicho bora kionekane... See you soon haterzz
 
Aseno ni ile ile ooh ni ile ile..imba wimbo wa the late capt. John komba
 
Ahsante mkuu mimi napenda mpira na Arsenal ni timu nnayoipenda sana.

Ila mimi sikucheza sana mpira lakini nnacho kipaji cha kuchambua wachezaji na hivi karibuni nimejiunga na mascouts walio na kazi ya kutafiti wachezaji.

Tatizo wachezaji wa kutoka Afrika kwa sasa ni vigumu sana kupenya labda waende kwa mpangp wa baadhi ya watu walio na connections kwenye timu za Ulaya.

Lakini kwa muda wote ambao nimeishi katika bara la Ulaya nimejifunza u-scout wa kutafuta vipaji vya wachezaji.

Hivyo nikiwa uwanjani pamoja na kwamba naisupport Arsenal lakini pia huwa naangalia new edition against the established na ndio kilichotokea leo.

Dogo Reece leo ndio ilikuwa ndio mechi yake ya kwanza ya ligi kuu ya Uingereza na ameonyesha kwamba anaweza kukabiliana na watu kama Ozil pale kwenye kiungo.

Pia leo yeye alikuwa ndie DM wa West Ham.

Ukuzaji wa vipaji na ukaviendeleza ndio njia pekee ya kuwa na timu imara yenye wachezaji walozoeana.

Lakini ikifika wakti fulani unatakiwa uangalie na uzoefu pia na juzi tu Henry amemwabia Wenger kwamba Giroud sio mmaliziaji mzuri na inabidi Wenger amsajili Benzema, amemwambia ukweli bosi wake wa zamani.

Hivyo kama kweli Benzema yupo London hivi sasa, basi atakamilisha usajili wiki hii.

Hongera kwa kazi nzuri.
 
Yu nou bwana zei sei it iz sayantifikali posibo ende vere ize tu breki ze briji zan chuwing ze hama.Yu jast nidi ze bombu to bluw ze daraja,bat haw abauti chuwing ze nyundo?!haw du yu meki zat ayan hama e switi ende delishaz hambaga?
 
hahaaaaa, huu uchokozi thatha.
 
After a three-month hiatus, the English Premier League is back. And week one of the world's most popular soccer league did not disappoint-the opening weekend produced high drama, entertaining football and, most importantly, lots of goals.
And one of the more interesting storylines to emerge from the first week is the part played by African players. In the nine games that took place, players with African roots scored 25% of the 27 goals.

For more, read here: African players took over the opening weekend of the English Premier League - Quartz
 
Kwa staili hii Mzee Wenger ni lazima asajili beki na mshambuliaji mmoja!!?
 
Gunners wamepoteza 3 points party ipo kwenye Cowshed khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee bring them on! Mwaka huu lazima mkonde.
 
Check Cech Wacha1 Wacha wee...

Rev Kishoka za masiku? EPL ndio kwanza mbichi, tunaangalia vijana wanakuja kwa staili ipi kabla ya kufunga mlango na komeo khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom