everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Everlenk na mentor naona mnafurahi sema poa Niko kimya
Nitakuja badaye kucheza kigodoro naona hujui kinavyochezwa....
Everlenk na mentor naona mnafurahi sema poa Niko kimya
Arsenal nirudishien hela yangu, mmeniharibia mkeka wangu
Kutereza si kuanguka. Tutarudi tunapostahili muda si mrefu na kulibeba kombe. Makosa yatasahihiswa kesho. Muda wenu kucheka na kufurahia kutereza kwa tembo...
everlenk, Belo, Bavaria, Nzi, mentor and compay.
Mna tatizo la kipa leteni hela tunao wengi tunauza Valdes,De Gea,Lindergard muwahi kabla wenzenu hawajachukuaKutereza si kuanguka. Tutarudi tunapostahili muda si mrefu na kulibeba kombe. Makosa yatasahihiswa kesho. Muda wenu kucheka na kufurahia kutereza kwa tembo...
everlenk, Belo, Bavaria, Nzi, mentor and compay.
Utazisikia hizi mtu ambazo zina "Matumaini" zikiimba "Wenger out, wenger oouutt!!"What if asiposajili?
Timu inaposhinda hatuna budi kuipongeza.
Hakuna kitu nilichovutiwa leo kama uchezaji wa huyu mtoto aitwae Reece Oxford.
Leo alimweka mfukoni Mesul Ozil ambae aliigharimu Arsenal paundi milioni 42
![]()
- SHARE PICTURE
Copy link to paste in your message
Reece Oxford akimkabili Ozil
![]()
Reece Oxford
Oxford ameonyesha kiwango cha juu, tatizo ni muingereza, watampamba mpaka ataharibika kabla hajagonga 20!Timu inaposhinda hatuna budi kuipongeza.
Hakuna kitu nilichovutiwa leo kama uchezaji wa huyu mtoto aitwae Reece Oxford.
Leo alimweka mfukoni Mesul Ozil ambae aliigharimu Arsenal paundi milioni 42
![]()
Reece Oxford akimkabili Ozil
![]()
Reece Oxford ana umri wa miaka 16
Kweli Tumewaona mabingwa wa msimu mmeanza ligi kwa ushindi wa kishindo
Naomba nikumbushe jina la yule dogo alievaa jezi namba 8.
aisee inauma sana umebakwa, umetolewa bikra, umepigwa goli mbili, umepewa mimba na umeambukizwa ukimwi ............
Yule kiungo mshambuliaji (attacking midfielder) anaitwa Cheikhou Kouyate ndie aliefunga goli la kwanza.
Ni mmoja wa viungo wa timu ya taifa ya Senegal.
Oxford ameonyesha kiwango cha juu, tatizo ni muingereza, watampamba mpaka ataharibika kabla hajagonga 20!
Ehehehehehehehe rubaman kwema hapa ndugu yangu ehehehehehehehe
Jamani mmemtoa bure yule Mpoland wenu kwa kikongwe huyu ehehehehehehe poleni sana!Kumbukeni tarehe 24 MAJOGOO yanakuja kukuchapa hapo hapo kwako
Mabingwa mtatuona tukianza kutoa dozi baada ya dozi. Leo jamaa walituotea tukiwa choo cha makuti Mwananyamala kisiwani.