Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wakati Czech anachukua trebo ya preseason hii lugha haikuwepo

cech.jpg

Only Arsenal fans who can take jokes. Other teams fans don't have sense of humors... We will be back
 
Wakuu wa Gunners msiwe na wasi wasi mwaka huu ni wetu wapende wasipende tutawakamata tu wachaneni nao wa-enjoy siku mbili tatu hizi hii ni marathon siyo knock out. Ding ... Dong.

Tunajua mtaanza kucheza mpira kuanzia March mwakani.
 
Sanchez huenda akaanza mechi na Palace na Walcott akawa CF.

Wekbeck nae ameanza mazoezi tayari kujiunga na kikosi cha kwanza.

Kikosi kinachotarajiwa kuanza mechi.

Theo, Alexis, Ozil, Ox, Coq ,Santi, Monreal Kos Gabriel Bellerin Cech.

Wenger aliharibu taratibu wa siku zote kwamba Ozil anacheza namba 10 na Cazorla namba 8 nyuma ya Ozil.

Utaratibu huu unamfanya Cazorla awe huru zaidi pale katikati kutengeneza vyumba na pia Ozil kuweza kufungua maneo mbalimbali ndani ya back four ya timu yoyote ile.

Kwenye mechi na West Ham Cazorla alicheza pembeni kulia na Ozil alicheza pembeni kushoto. Ni poale tu Theo Walcott na Sanchez walipoingia kipindi cha pili ndio Arsenal wakaanza kucheza ule mtindo wao ingawa ilikuwa ndio tumechelewa.

Arsenal wamekuwa wakitumia huu mfumo tangia msimu ulopita na wakaundeleza kwenye mechi za Pre-season lakini wakaidharau West Ham na kuvuruga timu na matokeo yake tumeyaona.

Come on You Gunners!!!
 
Naona mzee kaamua kula buyu kuusu kusajili mshambuliaji kweli mwaka uu tunalo
 
Ni kweli heri uweke akiba ya maneno maana na jpili ni kimbembe pale kwa palace usije maliza maneno leo jpili ukakosa ya kuongea. Ila narudia usemi wako "tusikimbiane tu"

Karma will do ts best Katika ubora wake so sina shaka
 
Mwenyewe anadai team work as kila player has to offer more than 10 goals n not below 10 yani hiyo ni dalili ya wazi ya kukwepa kusajili mtu pale mbele
 
I hope we don't sign Krychowiak. It took me 3 years to learn how to spell Szczesny and Mertesacker correctly
 
Mwenzenu ameshakata tamaa

Ameanza lini kusupport arsenal wengine ni miaka 30 sasa tuko arsenal pengine yeye alianza wakati wa Wenger nafikiri ni miaka 20 tu so simshangai wacha abwabwaje
 
Ameanza lini kusupport arsenal wengine ni miaka 30 sasa tuko arsenal pengine yeye alianza wakati wa Wenger nafikiri ni miaka 20 tu so simshangai wacha abwabwaje

Miaka hiyo 30 imekupa nini cha maana?
 
Miaka hiyo 30 imekupa nini cha maana?

Original membership ya arsenal,witness 19 trophies, timu imejimilikisha uwanja wake not only that unbreakable record 49 games unbeaten till Title labda nkuulize wewe umepata nini labda
 
ili arsenal tupate mafanikio hatuna budi kumpumzisha huyu mzee.....kwani ndiye kikwazo cha mafanikio arsenal....tunamshukuru hapa alipotufikisha sasa akapumzike,bila wenger kuondoka wapenzi na mashabiki wa gunners tutaendelea kulia kila siku,ni uwendawazimu wa hali ya juu kama unataka ubingwa halafu foward unayemtegemea ni giroud,walcot ambao hawana uwezo wa kufikisha goli 20.
 
Back
Top Bottom