Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kufungwa leo nadhani kuna mkono wa Mourinho na Roman Abromovich inawezekana wametuma Cech kutuvuruga lol.

tusitegemee makubwa sana kwa Cech kama mabeki hawakabi! Maimu ulopita Manu walibebwa na De Gea ila walioshia wa nne sababu ya mabeki wabovu.
 
Kutereza si kuanguka. Tutarudi tunapostahili muda si mrefu na kulibeba kombe. Makosa yatasahihiswa kesho. Muda wenu kucheka na kufurahia kutereza kwa tembo...

everlenk, Belo, Bavaria, Nzi, mentor and compay.

Pole sana ndugu yangu,hii ndo EPL bana, bado tuko na safari ya matumaini tutafika salama.....
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Ehehehehehehehe rubaman kwema hapa ndugu yangu ehehehehehehehe

Jamani mmemtoa bure yule Mpoland wenu kwa kikongwe huyu ehehehehehehe poleni sana!Kumbukeni tarehe 24 MAJOGOO yanakuja kukuchapa hapo hapo kwako

Mtarudisha zile 6 mlizopigwa msimu uliopita?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Nzi
Timu inaposhinda hatuna budi kuipongeza.

Hakuna kitu nilichovutiwa leo kama uchezaji wa huyu mtoto aitwae Reece Oxford.

Leo alimweka mfukoni Mesul Ozil ambae aliigharimu Arsenal paundi milioni 42

2B3A063800000578-3191191-image-m-62_1439127712886.jpg

Reece Oxford akimkabili Ozil

2B3A0EAF00000578-3191191-image-m-60_1439127678217.jpg

Reece Oxford ana umri wa miaka 16

huyu dogo kanishangaza sana miaka 16 lakini alichokua anakifanya hakiendani na umri wake. serious ozil alikamatwa.
 
Amewasumbua sana arsenal.

Huyu ana miaka 25 sasa yupo kwenye peek katika mpira.

Alienda Belgium akiwa na miaka 15 akachezea timu za FC Brussels na Anderlecht.

Tayari amecheza sana cL na ana uzoefu.

West Ham wana kiungo mahili na hapa meneja wao wa zamani Sam Allardyce aliona mchezaji.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Leo mmejaa kijiweni kwetu, inaelekea msimu huu watu wengi mnatuogopa.
 
huyu dogo kanishangaza sana miaka 16 lakini alichokua anakifanya hakiendani na umri wake. serious ozil alikamatwa.

Aisee hongereni mkuu naona jana kijana Schneiderlin alikuwa akifanya patrol kwenye eneo la kiungo, safi sana.

Mimi naelewa mpira na nilifahamu LVG aliona mbali, tatizo Wenger anabania sana pesa ambaypo si yake.
 
ImageUploadedByJamiiForums1439135173.549031.jpg

Jana asubuhi walikuwa wanaongoza league.
League ikiisha leo.??
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Aisee hongereni mkuu naona jana kijana Schneiderlin alikuwa akifanya patrol kwenye eneo la kiungo, safi sana.

Mimi naelewa mpira na nilifahamu LVG aliona mbali, tatizo Wenger anabania sana pesa ambaypo si yake.

Yah ahsante mkuu Morgan kaleta uhai flani kwenye kiungo japokua tatzo letu kwa sasa ni striking force na wachezaji kuchezeshwa out of their position.
Meanwhile deal la benzema ninauhakika 95% litakua done, labda mzee Wenger abadili mawazo tu, nafikiri atawasaidia sana, couqeline leo hakua na siku nzuri.
 
Nimemsikiliza wenger,ata tukichukua ubingwa bado sitompenda wenger,wakat anamjib henry kuhusu karim kaishia kusema i do believe i do believe,wtf coach unatakiwa useme i know,mara giroud ajtahd afkshe magor 20,ozil 10,walkot 10 then tunachukua ubingwa,,huyu babu hajiamn na ndoo maana hata wachezaj hawajiamn,kila siku anasema wachezaj wake hawana confidence wakicheza na big teams?nadhan aende kwa josee amfundshe kijenga motivations
 
Mnawaza team nzima ichukue ubingwa kwa magoli 40?
Wenzenu wanapiga hadi goli 120.
Teh teh teh
 
Timu inaposhinda hatuna budi kuipongeza.

Hakuna kitu nilichovutiwa leo kama uchezaji wa huyu mtoto aitwae Reece Oxford.

Leo alimweka mfukoni Mesul Ozil ambae aliigharimu Arsenal paundi milioni 42

2B3A063800000578-3191191-image-m-62_1439127712886.jpg

Reece Oxford akimkabili Ozil

2B3A0EAF00000578-3191191-image-m-60_1439127678217.jpg

Reece Oxford ana umri wa miaka 16

Huyu ana miaka 25 sasa yupo kwenye peek katika mpira.

Alienda Belgium akiwa na miaka 15 akachezea timu za FC Brussels na Anderlecht.

Tayari amecheza sana cL na ana uzoefu.

West Ham wana kiungo mahili na hapa meneja wao wa zamani Sam Allardyce aliona mchezaji.

Aisee hongereni mkuu naona jana kijana Schneiderlin alikuwa akifanya patrol kwenye eneo la kiungo, safi sana.

Mimi naelewa mpira na nilifahamu LVG aliona mbali, tatizo Wenger anabania sana pesa ambaypo si yake.

Kati ya watu wa ukweli wa soka kwenye jukwaa la sports hapa JF, wewe ni mmoja wa watu hao.

Morgan ni mashine inayofanya kazi ambayo watu wasio wa soka hawawezi kuiona na kuielewa kazi yake.

Saluti pia kwa kuwa muwazi na kukubali kile dogo Oxford alichokifanya kwa Masoud.

Chifu, saluti kwa kuongea kama mpenzi wa soka, na siyo mnazi wa klabu ya soka.
 
Back
Top Bottom