Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

11822347_1529638067076404_5148574074286663392_n.jpg
 
Wakuu wa Gunners kama ada vijana wanaanza mtanange in few hours, kila mburukenge yupo gado anakodolea mechi yetu, Alexis atapata some minutes, Ox yupo vile vile Rambo Ozil et al, mwaka huu tutawanyoa tu, hata kama hawataki. Bring them on .... ..... .... Ding ... ... Dong.
COYG

hahaaaaaaaa...kweli mwaka huu mtanyoa
 
Hii naona inaweza kuwa kipigo kizuri, dirisha la usajili bado halijafungwa, wenger adungue macho kuwa O.G na Walcott sio washambuliaji wa kufunga 25+ goals a season, ila top four ya nne bado ipo.
 
Timu bado sana Wenger inabidi akamilishe usajili wa DM na mshambuliaji very soon.

Goli la kwanza ni kosa la Cech na Kouyate akajifungia goli kiulaini akidhani Kouyate ametoa nje.

collage-goal_3402561b.jpg


Goli la pili ni kosa la Coquelin na akamwachia Zarate apige shuti umbali wa mita 30!

~
zarate_3402568b.jpg

Coquelin akimwangalia Zarate anapiga shuti. Hapo wote Coquelin na Cech wana makosa ya kiufundi utashindwaje kumuona Zarate anajipanga na anaachia kombora mita 30 kweli!.

Mzee Wenger aache kututania kwani pesa tunayolipia tiketi ni nyingi sana.

~
wenger-sad_3402582b.jpg

Hakuna muda wa kuwaza unafahamu ni wachezaji gani tunahitaji ingia sokoni fanya manunuzi.
 
Timu bado sana Wenger inabidi akamilishe usajili wa DM na msambuliaji very soon.

Goli la kwanza ni kosa la Cech na Kouyate akajifungia goli kiulaini akidhani Kouyate ametoa nje.

collage-goal_3402561b.jpg


Goli la pili ni kosa la Coquelin na akamwachia Zaarate apige shuti umbali wa mita 30!

~
zarate_3402568b.jpg

Coquelin akimwangalia Zarate anapiga shuti.

Mzee Wenger aache kututania kwani pesa tunayolipia tiketi ni nyingi sana.

~
wenger-sad_3402582b.jpg

Hakuna muda wa kuwaza unafahamu ni wachezaji gani tunahitaji ingia sokoni fanya manunuzi.
D.M hawapo tena, mpaka mwakani, labda a panic buy! Morgan fit the bill ila ndo keshachukuliwa, ILA ni mapema sana, ndo mechi ya kwanza ila ni reality cheque kuwa kikosi sio bora sana.
 
Back
Top Bottom