Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mabingwa wa msimu huu tutaanza kesho. Mliopata own goal mtajuta sana...
Fucccck mechi ya kwanza tunalala hivi

Mwaka huu unaangalia game pembeni ukiwa na ndovu bila pressure
Pressure ya nini na vijana wanampiga mtu gori zaidi ya moja..... hapo zinateremka taatibuu
What the *** hii timu bhana

Maumivu ya kichwa, huanza pole pole!!
Tumia HEDEX!

Sauti safi, sauti kubwa, Philips, Ndio Yenyewe.
Nunua redio ya Philips kwa sauti safi na isiyo na chenga (kama Arsenal).

Hii mwaka ina muziki muneneee!!
 
Hii naona inaweza kuwa kipigo kizuri, dirisha la usajili bado halijafungwa, wenger adungue macho kuwa O.G na Walcott sio washambuliaji wa kufunga 25+ goals a season, ila top four ya nne bado ipo.

J2 mnaenda kwa Palace
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Hii naona inaweza kuwa kipigo kizuri, dirisha la usajili bado halijafungwa, wenger adungue macho kuwa O.G na Walcott sio washambuliaji wa kufunga 25+ goals a season, ila top four ya nne bado ipo.

What if asiposajili?
 
ImageUploadedByJamiiForums1439131311.514584.jpg
 
Selhurst Park ni pabaya sana kwa timu kubwa, cha muhimu wenger azibe mapengo yaliyopo, bado mapema, surprise zitakuja kwa kila timu kubwa, kwetu imekuwa mapema!

Ndio nimeta taarifa tu pale ni hatari tena na uyu kocha waliye nae hatari sana
 
Maumivu ya kichwa, huanza pole pole!!
Tumia HEDEX!

Sauti safi, sauti kubwa, Philips, Ndio Yenyewe.
Nunua redio ya Philips kwa sauti safi na isiyo na chenga (kama Arsenal).

Hii mwaka ina muziki muneneee!!

Ahahaha malizia; "...maumivu yakizidi ..."

Ding dong!
 
Kutereza si kuanguka. Tutarudi tunapostahili muda si mrefu na kulibeba kombe. Makosa yatasahihiswa kesho. Muda wenu kucheka na kufurahia kutereza kwa tembo...

everlenk, Belo, Bavaria, Nzi, mentor and compay.
 
Selhurst Park ni pabaya sana kwa timu kubwa, cha muhimu wenger azibe mapengo yaliyopo, bado mapema, surprise zitakuja kwa kila timu kubwa, kwetu imekuwa mapema!

Wenger bado ana kiburi.
Akifungwa mechi ijayo ndo akili itamkaa.
 
Kutereza si kuanguka. Tutarudi tunapostahili muda si mrefu na kulibeba kombe. Makosa yatasahihiswa kesho. Muda wenu kucheka na kufurahia kutereza kwa tembo...

everlenk, Belo, Bavaria, Nzi, mentor and compay.

Pole sana mkuu.
Ndo maana naipenda sana EPL.
Haina team kubwa wala ndogo.
Mechi ijayo mnakalia kwanza ndo naona akili ya wenger ya kusajili itarudi.
 
Ehehehehehehehe rubaman kwema hapa ndugu yangu ehehehehehehehe

Jamani mmemtoa bure yule Mpoland wenu kwa kikongwe huyu ehehehehehehe poleni sana!Kumbukeni tarehe 24 MAJOGOO yanakuja kukuchapa hapo hapo kwako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom