Juwaine
JF-Expert Member
- Oct 1, 2013
- 624
- 170
Epl yetu nina imani
Ngoja tuone
Epl yetu nina imani
rubaman Arsenal watachukua ndoo mzazi utanikumbuka kaka kwa kusu man u kugombea nafasi Sawa ila Chelsea watasubiri sana tu
Unauhakika na unachoongea tuseme wewe unawazidi mtazamo wanaume wote waliochambua soka hapo juu.
Nipo excited kuona vijana wakitandaza soka msimu huu vile vile kuona tunavyowafunga wengine...
Bad news Jack Wilshare kaumia enka
Atakaa nje ya uwanja siku sitini, Ameumia mazoezini
And Wenger may have finally landed his top target with reporter Emanuele Giulianelli stating that the striker has signed a four-year deal with Arsenal worth £120,000-a-week.
mambo yanaelekea kuiva uko hispania mabosi wa asernal na madrid wamefikia pazuri inategemewa kesho benzema atasafiri mpk london mwaka uu mtatukoma mtaa wa 2
And Wenger may have finally landed his top target with reporter Emanuele Giulianelli stating that the striker has signed a four-year deal with Arsenal worth £120,000-a-week.
Huyu reporter ndiye aliyevujisha stori za Sanchez kwenda Arsenal mwanzo kabisa wakati hamna anayejua! Na Pierse Morgan kasema ktk twitter yake kuwa mazungumzo yako ktk hatua nzuri!
Mabingwa wa msimu huu tutaanza kesho. Mliopata own goal mtajuta sana...