Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tehetehe huyo ndo kipa wa Mbu na Beki wa Balatanda..Lol!

...hata usiseme aiseee, huyu Fabianski mnnnhhhh
Balantanda acha tu bro,..Fabianski katutenda kweli leo
duuuuh....😀 "nacheka kwa uchungu!"
 
Lol!, hawa marefa yaani wanatuonea from EPL hadi CL!-Wacha 1 he is thnkng.
 
Tehetehe huyo ndo kipa wa Mbu na Beki wa Balatanda..Lol!

ile ni kitu ya kawaida tu baba,hivi wewe hujaona kwamba jamaa kafunga kwanza refa ndo aonesha mkono kuruhusu mpira upigwe halafu baadaye akubali goli...anywaysa kama ipo ipo tu,mpira ni dakika 90 na thank God tuna goli la ugenini tayari....Ila Ferdnand sio beki baba,bora hata Campbell,mara mia
 
Huyu Refa mwehu sasa..aaargh

...huyu refa ndio aliyekubali goli la France dhidi ya Ireland,...maskendeli matupu...I hope FIFA watampumzisha.

Weshaniharibia kahawa yangu hapa...
Porto mchekea hawa,...Emirates tutawafunga tu.
 
Aah wapi, mpira wapigwa umeanza kumuvu ndo jamaa ananyanyua mkono juu, unless mie naangalia Udaku TV.
Tehetehe Bro Blntd, hivi kweli wamfananisha Rio na huyu Mwafrika?, anyways najua watania tu.Lol!
 
Huyu refa atafungiwa. Nimeona replays hata hakuona goli lilivyofungwa alishitukia liko golini na kulikubali.
 
...hata usiseme aiseee, huyu Fabianski mnnnhhhh
Balantanda acha tu bro,..Fabianski katutenda kweli leo
duuuuh....😀 "nacheka kwa uchungu!"

Yani Fabianski kanishangaza sana,poleni ila bado dk kadhaa mkuu..Be here till end of the game!!
 
...huyu refa ndio aliyekubali goli la France dhidi ya Ireland,...maskendeli matupu...I hope FIFA watampumzisha.

Weshaniharibia kahawa yangu hapa...
Porto mchekea hawa,...Emirates tutawafunga tu.
Kwenye listi ya maref wa sauz yupo tayari.
 
Wacha1; usisingizie kimyakimya staili, tuma posts hapa..msisubiri mpigwe na la tatu ndo mtafute mchawi ni nani.
 
Wacha1; usisingizie kimyakimya staili, tuma posts hapa..msisubiri mpigwe na la tatu ndo mtafute mchawi ni nani.

Huoni huyu refa kesha haribu mpira? Tutawapiga tu hawa Emirates hakuna shida.
 
Wacha1; usisingizie kimyakimya staili, tuma posts hapa..msisubiri mpigwe na la tatu ndo mtafute mchawi ni nani.
Huyu refa kawabeba sana Fat Arse, Fabreagas anaanguka hovyohovyo anapewa faulo!
 
Kwenye listi ya maref wa sauz yupo tayari.

damn, hafai...!
Anyway, ....matokeo sio mabaya sana.
Emirates watalinywa tu hawa.

Matokeo haya sio sawa na 3-2 ugenini 😀😀😀.
 
Tumefungwa,good game though,vijana wamecheza vizuri tofauti na matarajio ya watu..Poto rahisi mnoo.Wakija Imarati kichapo ni chao...Thank God tuna goli la ugenini🙂🙂
 
Ila mnayo nafasi ya kupita although game za CL huwaga unpredictable khvo sana, kila la kheri lakini watani.
Am out!
 
Back
Top Bottom