Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sio lazima mkuu! Unaruhusiwa kufanya quick free-kick kama unaweza. Magoli ya hivyo yamefungwa mengi tu hata EPL kama utakumbuka Henry, Giggs, .......ni jukumu la timu inayozuia kuhakikisha hawatoi nafasi kwa faulo ya haraka hili wajipange, wanaoshambulia ndio wanapewa advantage. Arsenal have just eaten their own medicine, if you remember Henry against Chelsea.

Hakuna usahihi ktk maelezo yako. Kwa hiyo unataka kunambia ukuta ni optional kwa refa kuamua? Sasa pale kuna tofauti gani na penati?
 
Juma Kaseja na Fabiansk nani bora? hahahahahahahh alikuwa anadaka panzi ? goli la kwanza lol!
 
Juma Kaseja na Fabiansk nani bora? hahahahahahahh alikuwa anadaka panzi ? goli la kwanza lol!

Mpira ukikataa umekataa Home B...Usishangae next week Cech akawa anadaka senene akidhani ndo mashuti ya Nerrazuri
 
Juma Kaseja na Fabiansk nani bora? hahahahahahahh alikuwa anadaka panzi ? goli la kwanza lol!

Hata minasangaa bana. Huenda wazungu wabaguzi wanaangalia ngozi kwenye usajili na sio viwango..he he he ..
 
Poleni sana safari hii mnaishia round hii! Maana Emirates jamaa watapiga counter attack kupitia kwa Gael Clinchy
 
Nitarejea hapa siku ya mazishi kukwoti maneno yangu menyewe na kuyapigia mstari..he he he..

Ni bora pia ukaja kuyapigia msitari kwa juu mara tutakapowatoa Porto nje ya UCL...Tunahitaji kagoli kamoja bila tu
 
Poleni sana safari hii mnaishia round hii! Maana Emirates jamaa watapiga counter attack kupitia kwa Gael Clinchy

Heheee,haya bana...Dua la kuku hilo unachekesha sana wa kunyumba(yaani wewe Arsenal huwa yakukosesha usingizi hata sijui kwa nini,maana wewe kila siku Arsenal,Arsenal)...Unaacha kuwawaza akina Samuel Eto'o,Wesley Sneijder,Sulley Muntari,Mario Balotelli,Ricardo Quaresma,McDonald Mariga unawaza kutolewa kwa Arsenal...lol....Angalia msije mkatolewa nyie Home B
 
...ambako hakatapatikana.

Arsenal haina historia ya kuperform under pressure.

Wewe wasema,,,,Unakariri sana aisee,angalia yasije yakakushuka baba....Porto siku zote huwa ni wetu tu mazee,cha msingi tusubiri tu dakika 90 za game inayofuata,hayo mambo ya kutabiri tumuachie Sheikh Yahya & Co
 
Arsenal-lineup-V-Porto_2421089.jpg


The Arsenal starting XI line-up in Estadio do Dragao ahead of the crunch European clash.

Vijana walicheza soka safi lakini mambo hayakuwa mswano
 
DiabyMicael-Porto-v-Arsena_2421110.jpg


Abou Diaby strides forward and is followed by Porto midfielder Ruben Micael.
 
Campbellgoal-v-Porto_2421100.jpg


Sol Campbell fires a header past the helpless Helton to put Arsenal on level terms at 1-1.
 
BendtnerAlves-Porto-v-Arse_2421099.jpg


Nicklas Bendtner and Alvaro Pereira tussle for the ball in the early stages of the game.
 
Mpira ni halftime Porto wanaongoza kwa goli moja, mambo yote Emirates ... .... ... ... ... ...
 
Back
Top Bottom