Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Fabreagas kaongea vizuri, kwamba makosa ya kitoto ndio yamewafungisha.
 
He he he, makosa kama yale ya Fabianski yanamfanya Aluminium peroxide aonekane Dino Zoff.. 😀
 
Huyu refa atafungiwa. Nimeona replays hata hakuona goli lilivyofungwa alishitukia liko golini na kulikubali.
Hata Henry akiwa Le Arse alishafunga goli kama hilo against Chelsea, quick free-kick. Get over it!
 
Hata Henry akiwa Le Arse alishafunga goli kama hilo against Chelsea, quick free-kick.

Tumefungwa kwa uzembe wa kijinga bin kitoto wa Fabianski japo tumecheza vizuri tofauti na ilivyotarajiwa
 
Wenger's words "First, I believe it was an accidental backpass. Sol touched it accidentally. The ref should have given us time to build the wall, because otherwise you can never defend a free-kick. It was a double mistake - and it was a penalty for us as well."

Manone sijui kwa nini hakucheza, huyu m-polish katuangusha sana leo, magoli yote ana lawama. Anyway tuwasubiri Emirates masikio yote sasa ni Sunderland - Emirates.
 
kweli ni huzuni,kwa kipigo cha timu yetu
pale uwanja wa dragao
kimekuwa cha maumivu
tumelia tumeacha nasi twaamini tutashinda palepale emirates

oops,perfomance imekuwa very poor kipindi cha pili,the goalkeeper made some fine saves but what terrible mistakes he did!!!
anyway tuna uhakika tukiwa in full strength na tukikaza zaidi porto hawatoki at the emirates in three weeks to come
KEEP THE FAITH
 
Wenger's words "First, I believe it was an accidental backpass. Sol touched it accidentally. The ref should have given us time to build the wall, because otherwise you can never defend a free-kick. It was a double mistake - and it was a penalty for us as well."
.

Hata mimi sielewi kama yule refa ana akili kichwani au amejaza miuji. Ukipata adhabu lazima ukuta ujengwe. Nadhani UEFA anaanza kuporomoshwa na mediocre kama hawa.
 
kweli ni huzuni,kwa kipigo cha timu yetu
pale uwanja wa dragao
kimekuwa cha maumivu
tumelia tumeacha nasi twaamini tutashinda palepale emirates

oops,perfomance imekuwa very poor kipindi cha pili,the goalkeeper made some fine saves but what terrible mistakes he did!!!
anyway tuna uhakika tukiwa in full strength na tukikaza zaidi porto hawatoki at the emirates in three weeks to come
KEEP THE FAITH

Kiongozi,tutahinda tu 2nd leg,leo vijana wamecheza vizuri tu vipindi vyote viwili ukiacha uzembe wa Fabianski wa 1st half na ule wa Fabianski tena na Sol wa 2nd half
 
Tushakuzoea wewe....lol

Naona nyie washabiki wa Arsenal na mie nimeshawazoea. 😀

Safari yenu ya UCL mwaka huu umekuwa fupi zaidi. Porto gemu ya pili watarudi nyuma wote na itakuwa stalamate na mechi ya hovyo,. Na kwa sababu Arsenal huwa wanahamanika, watataka kwenda mbele kutafuta goli as a result watapigwa counter moja kule kule kwa Cliche na kaunta itazaa mtoto. Then it comes the usual part kuugulia maumivu. Poleni in advance.

Ila inashangaza kama kule Emerates kuna watu wenye akili timamu. Hivi kununua kipa mzuri kama Sorensen inaonekana kuna gharama kubwa zaidi kuliko kutolewa kwenye hatua za awali za FA Cup au UCL?? Nadhani kuna mahali jambo flani halipo sawa.
 
Back pass kwa kipa unategemea nini kwa refarii? Foul ......Fabiansk angekuwa na akili asingekabidhi mpira ule kirahisi wakati anaona hawajaweka ukuta. Nina hakika Jens Lehmann angeupiga mbali na angelamba kadi ya njano....nyie watoto mtakuwa lini???
 
Hata mimi sielewi kama yule refa ana akili kichwani au amejaza miuji. Ukipata adhabu lazima ukuta ujengwe. Nadhani UEFA anaanza kuporomoshwa na mediocre kama hawa.
Sio lazima mkuu! Unaruhusiwa kufanya quick free-kick kama unaweza. Magoli ya hivyo yamefungwa mengi tu hata EPL kama utakumbuka Henry, Giggs, .......ni jukumu la timu inayozuia kuhakikisha hawatoi nafasi kwa faulo ya haraka hili wajipange, wanaoshambulia ndio wanapewa advantage. Arsenal have just eaten their own medicine, if you remember Henry against Chelsea.
 
Naona nyie washabiki wa Arsenal na mie nimeshawazoea. 😀

Safari yenu ya UCL mwaka huu umekuwa fupi zaidi. Porto gemu ya pili watarudi nyuma wote na itakuwa stalamate na mechi ya hovyo,. Na kwa sababu Arsenal huwa wanahamanika, watataka kwenda mbele kutafuta goli as a result watapigwa counter moja kule kule kwa Cliche na kaunta itazaa mtoto. Then it comes the usual part kuugulia maumivu. Poleni in advance.

Ila inashangaza kama kule Emerates kuna watu wenye akili timamu. Hivi kununua kipa mzuri kama Sorensen inaonekana kuna gharama kubwa zaidi kuliko kutolewa kwenye hatua za awali za FA Cup au UCL?? Nadhani kuna mahali jambo flani halipo sawa.

Tushakuzoea wewe bana...lol
 
Back
Top Bottom