Kajibu ndio, lakini kaanza excuse mapemaaaaaa!, lol!, leo AW na Wacha1 nina nyinyi kudadeki, jana mmenihemesha sana watanganyika nyie... Preshaaaaaa inapanda...preshaaaa inashukaaaaaa...Lol!
Tik tak tik tak.......apo Z Gonnaz viroho vyawadunda.....Wacha 1: goli n goli tu, hamna baya wala zuri coz at the end of the day ni point tatu wat mataz.
...😀 mbona unajipa presha wewe, wenyewe tupo tuliii kama maji ya mtungini,
...tumetulizana na kahawa zetu na visheti saa hizi tunasubiri wakti ufike vijana watupe raha!
Habari yako mkuu!
Hivi nyie mnakipiga lini na Inter??,maana mnavoshadadia leo mhhh,utadhani mshavuka knock out stage🙂🙂
Kama naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?!!!!!!!!!!!11111
Habari yako mkuu!
Hodi hapa, wenyeji mpo?!