Hawa Porto vipi, wanafungwa na Bwabwa Campbell??!!!!!!!!
Kwa kuwa unaona mambo mazito ndio maana unaomba muwe kimya sio?!! Mbona jana mlikuwa mnachonga sana kwa ManU??!!Masahbiki wa Arsenal naombeni leo tusiwe na maneno mingi....kimyakimya
Mtanena kwa lugha zote leo ka manabii!Kama nilivyosema vijana wanacheza ngoma safi .... .... siyo urojorojo wa jana.
Ngoja nijijibu;Huyu Sagna ni msauzen Sudan?, au london hakuna lotion?, mb kapauka hivyo?
Mkuu usijali ndio mpira. Tuna majeruhi wengi tu lakini vijana waliopewa kazi wataimaliza.Mtanena kwa lugha zote leo ka manabii!
Yaani kwa beki yenu uchochoro na kipa bomu, ka hii, mje au tuje Emirata, tungewagonga nusu dazani kudadeki.
Kwa kuwa unaona mambo mazito ndio maana unaomba muwe ikmya sio?!! Mbona jana mlikuwa mnachonga sana kwa ManU??!!
Yaani kwa beki yenu uchochoro na kipa bomu, ka hii, mje au tuje Emirata, tungewagonga nusu dazani kudadeki.
Balatanda naye,,lol!, jana hukona scoreshit mwishoni mwa mechi ilisomekaje?Ni mara 10 ya Campbell kuliko Ferdinand,jana Milan walizembea tu,beki yenu ilikuwa mbovu sijapata kuona,game ijayo mkichezesha beki ya jana Milan lazima wazae na nyinyi mapacha wanne(04)