Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wenger badala ya kumuuza Shenzy anamuuza Ospina

Peleka porojo Old Trashford, ya Prof hayakuhusu khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ding ... ... dong.
 
Ni rumours kuwa Ospina atauzwa uturuki. Sitoshangaa kuona Ceck haji Arsenal na Ospina anabaki number one kipa

Yaani kama mkimuuza Ospina nitawashangaa sanaa!!, Ospina bonge la jembe acha tu kule Copa America ananipa raha sana kama vile DDG.....
 
Ni rumours kuwa Ospina atauzwa uturuki. Sitoshangaa kuona Ceck haji Arsenal na Ospina anabaki number one kipa

Cech is coming for sure

TWEET ya LAUREN jioni hii

Deal laweza kutangazwa Jumatatu

Ospina anaondoka....may be part ya makubaliano ni lazima awe undispitued First eleven na ndo aje

huwezi kukaa na three top class keepers lazima mmoja apishe, sadly Ospina is likely the victim

Ukweli ulio wazi Peter cech ni world class golie anawazidi Hawa tulionao ubishi tukiuweka pembeni na huruma juu ya ospina kwa kuwa ni msimu wake wa kwanza

Peter in then we mean business
 
Attachments

  • 1434818242667.jpg
    1434818242667.jpg
    48.9 KB · Views: 114
Makipa wote Cheza na Ospina wawapo golini hawafanyi mawasiliano mazuri na mabeki na hata kuwapanga mabeki na kuzungumza na mkoba Mertesacker kila mara.

Kwa wale mnaomkumbuka David Seaman alikuwa kipa imara na aliweza kuwasiliana na ngome ya Arsenal iliyoongozwa na Tony Adams kwa ufanisi mkubwa. Pia kipa mwingine Jens Lehman nae alikuwa akiwasiliana vizuri tu na ngome yake ikiongozwa na Sol Campbell na hata Arsenal ikawa na ngome ngumu wakti ule.

Kuna magoli ambayo Arsenal wamefungwa na ambayo yametokana na kukosekana mawasiliano mazuri kati ya kipa na mabeki wake, na Ospina na Cheza wametambulishwa hivyo.

Cheza ana tatizo la kutoka kabla na hivyo kuwafanya washambuliaji kufunga kirahisi tena kutokea nje ya eneo la 18.

Ospina nae ana tatizo la kujipanga awapo golini na wakati mwingine anajikuta akipishana na mpira ukiingia wavuni kwani mabeki wake wanakuwa wametengeneza blind spot kubwa tu kuweza kufungwa magoli ya kijinga.

Kwahio ili kurudisha ngome imara na kipa imara mwenye uzoefu wa kutosha ni kutafuta kipa ambae ana sifa ambazo Petr Cech anazo.
 
Cech is coming for sure

TWEET ya LAUREN jioni hii

Deal laweza kutangazwa Jumatatu

Ospina anaondoka....may be part ya makubaliano ni lazima awe undispitued First eleven na ndo aje

huwezi kukaa na three top class keepers lazima mmoja apishe, sadly Ospina is likely the victim

Ukweli ulio wazi Peter cech ni world class golie anawazidi Hawa tulionao ubishi tukiuweka pembeni na huruma juu ya ospina kwa kuwa ni msimu wake wa kwanza

Peter in then we mean business

kipindi hiki kila mtu mwenye Twitter na at least 5000 followers ulaya anajiita ni "in the know " transfer expert.Nasubiri hadi news ziwekwe ktk bbc,skysports au clubs websites ndo nitaamini nani kanunuliwa na club ipi, vingine ni rumors kwangu
 
Makipa wote Cheza na Ospina wawapo golini hawafanyi mawasiliano mazuri na mabeki na hata kuwapanga mabeki na kuzungumza na mkoba Mertesacker kila mara.

Kwa wale mnaomkumbuka David Seaman alikuwa kipa imara na aliweza kuwasiliana na ngome ya Arsenal iliyoongozwa na Tony Adams kwa ufanisi mkubwa. Pia kipa mwingine Jens Lehman nae alikuwa akiwasiliana vizuri tu na ngome yake ikiongozwa na Sol Campbell na hata Arsenal ikawa na ngome ngumu wakti ule.

Kuna magoli ambayo Arsenal wamefungwa na ambayo yametokana na kukosekana mawasiliano mazuri kati ya kipa na mabeki wake, na Ospina na Cheza wametambulishwa hivyo.

Cheza ana tatizo la kutoka kabla na hivyo kuwafanya washambuliaji kufunga kirahisi tena kutokea nje ya eneo la 18.

Ospina nae ana tatizo la kujipanga awapo golini na wakati mwingine anajikuta akipishana na mpira ukiingia wavuni kwani mabeki wake wanakuwa wametengeneza blind spot kubwa tu kuweza kufungwa magoli ya kijinga.

Kwahio ili kurudisha ngome imara na kipa imara mwenye uzoefu wa kutosha sifa ambazo Petr Cech anazo.

Nitofautiane na wewe Ospina hana tatizo sana....

amekuwa Mchezaji muhimu katika Unbeaten run kuelekea mwisho wa msimu

tukubaliane kuwa Peter cech ni UPGRADE ya makipa wote waliopo kwa Uzoefu mkubwa alionao so far na age yake ya 33 anaweza kucheza mpaka 40 bila shida

Lehmann alisajiliwa akiwa na 32 na Van der sar alienda manure akitokea Fulham akiwa na 34

Ukiangalia vizuri Cech hawezi kuja kichwa kichwa....lazima aweke Terms so long as Arsenal wameonesha Nia ya dhati kumchukua na Term ni KUDAKA kama Kipa number moja kila siku bila ubishi....

Upgrade ya Cech ni kama leo hii hatulalamiki sana kwenye mabeki wa kati tuna Surplus lakini Imagine THIAGO SILVA anakuwa Available na anataka kuchezea Arsenal?

Hata chizi hawezi kuacha kumchukua
 
kipindi hiki kila mtu mwenye Twitter na at least 5000 followers ulaya anajiita ni "in the know " transfer expert.Nasubiri hadi news ziwekwe ktk bbc,skysports au clubs websites ndo nitaamini nani kanunuliwa na club ipi, vingine ni rumors kwangu

kumbuka hiyo account ni Verified

lakini kingine skysports walisha comform kuwa Arsenal walikuwa in talks nae naye pia alikuwa interested kubakia London

we hope Lauren has got a tip that deal is done
 
Nitofautiane na wewe Ospina hana tatizo sana....

amekuwa Mchezaji muhimu katika Unbeaten run kuelekea mwisho wa msimu

tukubaliane kuwa Peter cech ni UPGRADE ya makipa wote waliopo kwa Uzoefu mkubwa alionao so far na age yake ya 33 anaweza kucheza mpaka 40 bila shida

Lehmann alisajiliwa akiwa na 32 na Van der sar alienda manure akitokea Fulham akiwa na 34

Ukiangalia vizuri Cech hawezi kuja kichwa kichwa....lazima aweke Terms so long as Arsenal wameonesha Nia ya dhati kumchukua na Term ni KUDAKA kama Kipa number moja kila siku bila ubishi....

Upgrade ya Cech ni kama leo hii hatulalamiki sana kwenye mabeki wa kati tuna Surplus lakini Imagine THIAGO SILVA anakuwa Available na anataka kuchezea Arsenal?

Hata chizi hawezi kuacha kumchukua

Uko sawa kabisa Ospina ni kipa imara sana na alionekana kwenye WC na sasa kule kwenye CA.

Arsenal walipata crisis pale Cheza alipatwa na janga na akawa dip in his form na ndio ukawa mwisho wa kuwa namba 1 na Ospina akachukua hio nafasi.

Petr Cech anakwenda Arsenal na kocha wake Christophe Lollichon kwani kocha wa makipa wa Arsenal Tony Roberts anaondoka kwenda Swansea ambako kuna Fabianski ambae yeye na Cecha wote wameendelezwa na Tony Roberts.

Hivyo historia ndio inampa nguvu Cheza kuendelea kuwa namba 2 baada ya Petr Cech kuja na Ospina ambae amecheza msimu mmoja tu anakuwa surplus to requirement.
 
The Wenger Years - Overview

How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch

Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.

28rejux.png

Mbona ham-update main/ homepage yenu?? mmelidhika???
 
rubaman

Ulitaka hivi okay wamekuwekea

pitia hapa

Chelsea goalkeeper Petr Cech is closing in on a move to Premier League rivals Arsenal, according to Sky sources.

Sky sources report Cech, 33, has agreed personal terms in principle on a switch to the Emirates Stadium but we understand the two clubs are still not close to agreeing a fee and negotiations will continue this week.

The transfer fee is unknown but it will be a cash only deal, with Chelsea's request to receive a home-grown player as part of the proposed transfer no longer being considered.

Cech is said to be grateful to Chelsea owner Roman Abramovich for allowing him to move to whatever club he chooses, even though that is now likely to be London rivals Arsenal.

The Czech Republic goalkeeper has one year left on his contract at Stamford Bridge but is searching for a new employer after spending much of last season as second choice behind Thibaut Courtois.

Cech is believed to be keen to move to the Gunners although it is believed that Blues boss Jose Mourinho would prefer him to join French champions Paris Saint-Germain.

http://www1.skysports.com/football/...closer-to-arsenal-move-sky-sources-understand
 
Last edited by a moderator:
Wenger badala ya kumuuza Shenzy anamuuza Ospina

kwa kuwa Wojo ni Homegrown player na kuanzia msimu huu Wachezaji wanatakiwa kuwa Home grown ni 8 na watafikia 12 by 2016 season lengo kuimprove timu ya uingereza by 2020

you wonder man city wamekomaa na Raheem na wilshere na sasa wamehamia kwa song na chelsea nao wanamtaka song maana alikuja England akiwa 17

home grown ni mchezaji aliyekuja England before 21 birthday na alianzia Academy

kumuacha Ospina Kumnunua Cech Ni Matatizo Ya Akili

Ospina hajafikia Kiwango cha Peter Cech japokuwa mi ni Arsenal lakini ukweli naweka wazi Cech is world class goalie na uzoefu wa misukosuko alipofikia miaka 33 yuko katika Prime yake anaweza kucheza miaka 6 mingine bado....

Petr Cech lazima atam badilisha tu Ospina dah itakua kituko

Unatakiwa ufahamu kuwa Makipa wachache sana wanaokuwa under 30 wakawa wa ukweli World class we talk about Coutois, De gea, Lloris hamna mwingine.....nitajie

Na kwa sheria mpya ya kuwa na wachezaji 8 wa homegrown inachangia kumvictimize Ospina auzwe ikiwa cech atakuja

All in all Cech ni UPGRADE ya waliopo huwezi kuacha deal kama hiyo lazima uwe na wazimu

Cech aje ....kipa babu ndo mpango

Lehman alikuja Arsenal 2003 akiwa 32

van der sar alikuja manure akiwa 34 mwaka 2005

Buffon ana 37 na bado anasema anacheza mpaka 40
 
Last edited by a moderator:
Ndo maana Chelsea walitaka Oxlade awe part ya deal ya cech

City kukomaa na Raheem wana deficit ya 5 homegrown player katika Kikosi chao cha watu 25

Chelsea wamehamia kwa Song kukamilisha idadi
Belo Ntuzu BAK Nzi rubaman Richard

You can read more here

Why are Man City, Liverpool and Chelsea chasing home-grown players in the transfer window? | Football News | Sky Sports - Why are Man City, Liverpool and Chelsea chasing home-grown players in the transfer window? | Football News | Sky Sports

Arsenal ndio timu pekee yenye kufanya jitihada za kukuza vipaji ya wachezaji wadogo na kuviendeleza.

Man City na Chelsea ndizo zinaongoza kwa kuwaharibu wachezaji hao na kuwahabiria uwezo wa kucheza mpira wa kiwango cha juu.

Man City wameharibu kipaji cha Micah Richards kiasi cha kumpeleka Fiorentina kuchza kwa mkopo. Pia wamemharibu Scott Sinclair ambae hadi saa hajachezea timiu hiyo kipindi chote alichokaa akiwa Man City.

Chelsea walitaka kumharibu Ryan Bertrand ambae sasa anacheza vizuri tu pale Southampton.

Raheem Sterling akienda Man City na wakati huohuo Paul Pogba pia asajiliwe si utamweka Streling bench?

Au Song akienda Chelsea vipi kuhusu Julian, Fabregas au Oscar?

Hizi timu zinataka kukamilisha idadi tu ili kukidhi matakwa ya FA na sio kuendeleza vipaji vya wachezaji hao.
 
Wakati mwingine ni vema kutoa hoja bila ushabiki wowote ule. Hii inapendeza sn! Lkn km MTU anaamua kutoa tu maoni kiushabiki na kwa mapenzi Yake haipendezi!
 
Back
Top Bottom