PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
Kwa jasho la wengine. Enzi za Mwalimu tulifundishwa "usiwe kupe"......
ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha
Kwa jasho la wengine. Enzi za Mwalimu tulifundishwa "usiwe kupe"......
mmemuona vamalen leo ananyanyua ndoo
![]()
Pod anarejea ... .... Italy kumegoma.
Duh sijui kwa nini uyu jamaa natamani apate mafanikio kokote aendako na akirejea hakika babu atamtoa tena kwa mkopo kama vipi arudi zake kwao akapambane tu.
Kwa jasho la wengine. Enzi za Mwalimu tulifundishwa "usiwe kupe"......
nasikia dili ya Martinez inaenda kukamilika japo cna uhakika saaana.
Prof angekomaa na Vidal,Sterling Wa nini?
No more Diaby on the payroll
No more Diaby on the payroll
Mkuu wachezaji wako insured kama wameumia malipo yanalipwa kutoka kwenye insurance. Its not a Mickey-mouse business.
![]()
Good luck Abou ... ..... very talented but injuries cost
his place in todays fast moving sport.
Other players off-loaded Jack Jebb,Oluwasemilogo Adesewo Ajayi, Austin Lipman, Ryo Miyaichi, Brandon Ormonde-Ottewill, Josh Vickers. Hivyo tutegemee prof kununua wachezaji kadhaa na kuwaingiza dogo's kutoka kwenye academy .... ...... ..
But still club zinalipa the insurance packages ambazo si cheap.... Kwa maana hiyo mambo ni yale yale unless kama kuna conditions(contractual) za kuwa mchezaji aliyeumia halipwi 100% ya mshahara wake.