MwafrikaHalisi
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,741
- 511
Petr Cech akitua ile mechi ya Ngao ya Msimu itakuwa ya Kusisimua sana. Can't wait!!
Mkuu tayari Cech ameshajiunga na washika bunduki wa londonPetr Cech akitua ile mechi ya Ngao ya Msimu itakuwa ya Kusisimua sana. Can't wait!!
Mkuu tayari Cech ameshajiunga na washika bunduki wa london
Bado haijawa rasmi mkuu. Anything can happen.
Ndugu habari za kupotea daah upo?
Nothing can happen labda kama unasubiria Arsenal.com wamtangaze lakini VERY RELIABLE Skysports walitoa jana usiku kuwa Deal was DONE
Arsenal agree £10.9m fee for Chelsea's Petr Cech Sky sources say | Football News | Sky Sports
Dahhh wenger kamuacha Jackson martnez sasa sijui anataka kuendelea kumuamini giroud
Kasajiliwa na team nyingine.
Kashengo, nimeiona hii news. Sasa nakubali(uhakika) kwa over 75% kuwa Cech anaweza ku-move kaskazini, nitakuwa 100% wakisha confirm katika sources Skysports, BBC, Arsenal websites. Naona leo Skysports wanasema atafanya medical wiki ijayo baada ya makubaliano ya fees.
Nzi, nipo mkuu. Nimechukuwa chatting Sabatical ya JF kwa muda.
Ilani kwa Wa-Gooners wenzangu. Kumpata Cech sio kuwa ita guarantee sisi kubeba ubingwa. Pamoja na kuwa ni kipa mzuri kuliko tulionao (Shezzy, Ospina na Martinez) uzuri wake utategemea uimara na umakini wa beki wetu. Kipa mzuri anategemea uzuri wa mabeki wake. Arsenal tunatakiwa tuwe na mabeki walio imara na kupunguza idadi ya majeruhi tunaopata kila msimu ili tuwe real title challengers ama sivyo tutakuwa kama Manchester United walio na kipa mzuri lakini beki yao ni nyoronyoro kwa misimu 2 iliyopita.

Kutoka bbc.com/football page ya mbele inasema cech amekubaliana na arsenal na anafanya vipimo leo hii
kweli aiseee...........